Pages

Ads 468x60px

Sunday, May 13, 2012

YANGU ILIKUWA HIVI YAKO JE?????????

Kama kawa nimeamka saa mbili  busy busy nimechelewa kanisani, naanda wanangu,bfast, mimi mwenyewe sijajiandaa na ibada inaanza saa nne  zaidi ya yote baba wawili nae kaamka hata anisaidi anajishughulikia mambo yake...............uuuuuuuuwiiiiiiiii mwanamke nimenunaje???? domo lote karibu linagusa kidevu limenishuka kwa hasiraaaa hahahaaaaa!!!!!(mwenyewe ningekuwa bongo! aaah!!! ningeita mapema kabla sijalala dada plz naomba nikiamka asubuhi uwe umewaanda watoto na chai iko mezani tutawahi kanisani kwi kwi kwi!! aaah wapi imekula kwangu hiyo likizo mpaka likizo.)ok  tuko kwenye gari naomba kisiri siri Mungu anipe amani kwani nataka nikasali ktkt roho na kweli nisiingie na mihasira yangu.....tumeshuka sasa, baba wawili kashusha wanae upande wake  ananiambia njoo upande huu mara moja mara Happy mothers day!!!!!huku Careen ananipa haka kajidude heeeee!!!!!kwanza nilikuwa hata nimesahau km ni mother's day

Last week nilikuwa namwambia baba wawili "mimi sijui kwa nini huwa sijishughulishi na madini yaani hata huwa sistuki kivile Kama mtu kavaa ntamsifia, lkn mimi kujibidisha aaah wapi sijui ni ushamba?umaskini?au ndo wale wale......"  so i told him this time will try to buy my simple chain,bracelet &earing. heheheeee what a lovely huby kaona aanze kuwanunulia watoto wake wanipe on my special day...............sina sababu yakutomshukuru Mungu kwa ajiri ya baba wawili kwa kweli. Mahasira yote kwishenea kwi! kwi kwi!

@ alikumbuka na Camera
senkyuuuuu my girls



Nimependeza eeeh!!!! ila tuuu msinipe masharti @ ninavyooga nitoe uuuwiii!!!!!! kwa kweli siwezi yaani hiyo itatoka labda navaa kitu ambacho naona haitaji kuwepo km ninavyovaa pete zangu yaani huwa hazitoki kwakweli...............biashara zakutoa kila unavyoshika maji, sijui kubeba mabox yaani nitaipoteza sasa hivi bora nitinge nayo tuuuuu.


Haya wangu km we ilikupita usijari cha msingi TRUE LOVE sio maigizo unaweza ukawa hujafanyiwa kitu kwa namna moja au nyingine haijamaanisha kwamba hupendwi, amini kwamba wewe ni special na hata km mwanadam amekupotezea Mungu anakutambua kwa sana tuuuu.Pia utambue mambo mengine pia yanachangiwa na culture... yaani km mimi mkinga hizi suprise nimeanza kuzijua siku hizi tena mda mwingine huwa hata sizihitaji nisije kufa na presha bure.(mashikoro mageni).

ENDELEA KUNICHUNGULIA UJUE SIKU YANGU ILIISHIJE MAANA MWENYEWE NAIITA HUZUNIFURAHA

2 comments:

  1. i like that! surprise tamu sana hiyo! hop ulimpa bonge la kiss!

    ReplyDelete
  2. Nice surprise & happy mother's day to u hun

    ReplyDelete