Pages

Ads 468x60px

Sunday, May 20, 2012

Advice pls......

Mama wawili wants to put on weight @ list 5kg more.................. nimejaribu sana tu jamani  naishia 49  kwa yoyote atakaenishauri hata nikifika 53 zawadi nono itatolewa hahahaaaaaa. this is serious hakuna mashauzi wala kejeri. maana nimeenda kwa doctor  check up zote zimefanyika na diet nimepewa hazijafanya kazi kabisa ameishia kuniambia no way this is your nature, unless i go for................ kazi kwako mdau.





1 comments:

  1. fanya kama umesahau kabisa kama unataka kuongezeka, then be free mind, ongeza kula vitu vya sukari wanga na mafuta kidogo uone matokeo.\

    ikishindikana huku itabidi nimwambie hubby akupe stress!! maana hizo nazo ukizichukulia unafurah hahah pole sweety wengine twataka size yako tunateseka hapa.

    ReplyDelete