Pages

Ads 468x60px

Thursday, May 24, 2012

JICHO LANGU

Nanukuu "ALHAMDULILLAH jana nlfanikiwa ku LAUNCH my TALK SHOW.. "THE MBONI SHOW" Kipind Kitaanza kuruka Tarehe 31 mwez huu saa Tatu usiku mpaka saa nne usiku pale EATV."
 Hongera sana bidada nimeanza kukuangalia kwa jicho tofauti kwa kweli..........kaza buti kwa sana tu. yaaani hapa utakutana nawakukatisha tamaa, kukutia moyo, kujibembeleza km kina sie kukuandika andika km hivi hahahaaaaa!!!!! nimejistukia mapema maana najua tuuu wapo watakaosema........mwenye sifa mwacheni apewe sifa zake wapenzi.hizi habari sijui kamwiga nani sijui ..............aaaaaaagggggghhhhhh!!!!! mwangalie mtu kwa kile anachokifanya sasa, km chema mtie moyo.TUACHENI MANENO YASIYOTULETEA MAENDELEO  AKIKOMBOKA MMOJA TANZANIA IMEKOMBOKA.


No comments:

Post a Comment