Pages

Ads 468x60px

Thursday, May 17, 2012

MTAZAMO

Mmmmmmh!!! ngumu kulianzisha lakini ngoja nijikakamue maana, tusipoambizana au kupata ujasiri wa kulitoa la moyoni  hatutafika zaidi tutabaki tunauguza majeraha ya moyo kwa kuyajaza  mambo moyoni. Na pia naamini sitakosa kuponya mtazamo wa watu wawili watatu ingawa naweza kuongeza idadi ya kuchukiwa................ok

NDOA YA JINSIA MOJA, ni kweli kunabaadhi ya watu wamejikuta wako kwenye hili kundi kwa mazingira ambayo wameshindwa kujinasua kabisa kutoka huko hivyo, wakisubiri neema ya Mungu iwasaidie.  Lakini, kuna wengine ndo kwanza wameanza na kampeni za kuendeleza na kushawishi watu waingie Humo!!!!!!!! Hii kwangu ni umiza kichwa wapendwa  hivi?????? ni ,kweli tumeamua kuua kizazi kijacho???????hivi mimi leo bila Mama na Baba ningikuwepo????????? Leo hii tunaona sawa kwa sababu kuna watoto wengi wasio na maisha bora tunaweza ku wa adopt. Vipi sasa hii kampeni  ikifanikiwa na kuchukua walio wengi????? kizazi kipya kitafananaje????? Mbona tumebarikiwa uzazi kuna wengi wetu  usiku na mchana wanaomba hata hiyo mbegu ulionayo na unaichezea ili wapate huyo mtoto lkn hawapati.Hivi ni kweli tumeamua kujitengeneza mwisho wa dunia wenyewe???? nionavyo mimi km uzazi ukiisha waliobaki watazeeka then kifo na yule wa mwisho atakamilisha mwisho wa dunia...........(hahahahaaa!!ndoto hizo kwa maana HAKUNA AIJUAE SAA WALA DAKIKA YA MWANA WA ADAMU KUJA ILA, ISHARA HIZI..............)

Wapenzi mimi nilifikiri tungeanzisha mbinu mbadala za kuwajenga hawa wenzetu kisaikolojia ili, siku moja waitwe Mama na Baba  wa ukweli na sio wakuadopt wala kupandikizwa......ni heri yule aitwae mgumba ama tasa kwa maana siku moja ataitwa Mama au Baba?????na huyu sasa tunaemtia moyo nakumshawishi awe na ndoa ya jinsia moja nini hatima yake????????Just imagine he/she work so hard for the nxst generation!!!!!!!! Yakupandikizwa au Adoption??????? wakiisha hao na wote tuko kwenye ndoa hiyo itakuwaje???????????nimesikia wanasema, IF YOUR HAPPY GO FOR IT.........MMMMMMHHHH!!
 Mbona wewe unawatoto tena baada ya ndoa tu ulifanya  haraka kumuomba Mungu huyo mtoto??????? hebu piga picha leo usingekuwa na huyo Mtoto ingekuwaje???????Nionavyo mimi hawana hiyo furaha km tunavyodhani ni kwa sababu tu kunamazingira ambayo wamepitia yaliosababisha wawe hivyo km wote tukisimama pamoja kuwasaidia ili wajitoe huko bila kuwatenga  ingependeza  na sio kupiga kampeni ya kuongeza idadi hii ni laana kwa kweli.

ANGALIZO
Nisameheni wale wote ambao mpo humo.... nawapenda nakuwaheshimu ninachochukia mimi ni Tendo  na sio Binadamu yoyote na tena hilo tendo linapigiwa kampeni. Kwani naamini kabisa hata mimi katika safari yangu kuna mambo na matendo ambayo nimepitia na kuyafanya ambayo mpaka leo nikiyakumbuka  natoka na machozi sipendi hata kusikia kusikia Mtu anapitia au kuyatenda.NILIYAFANYA  KWA SABABU.............KUHUKUMU SI JUU YANGU BALI NI KWA BWANA YEYE ALIYEZIUMBA MBINGU NA NCHI......... ni kwa neema maana  TUMEFANYA KUWA UPYA...... TUSIYATAFAKARI WALA KUYAKUMBUKA YALIOPITA KWA MAANA.............. .

No comments:

Post a Comment