Pages

Ads 468x60px

Sunday, June 9, 2013

THE LOOK

Mama wawili


Muke ya Slay 
kamchicha kamekubalijeee???
huu mvao wa leo ukiupenda  give complement to Baba wawili   

9 comments:

  1. You look absolutely lovely. Kitu kimoja kama mtanzania mwenzangu (Hachana na MAWIG hayakutendei haki hata kidogo) here you look so pretty and natural black woman. Say no to mawig ( Tafakari ''' samahani kama nimekukwaza)

    ReplyDelete
  2. nice look mnyalu, don't ever change that hair style it looks perfect on u. love u sweet.

    ReplyDelete
  3. kweli kabisa unapendeza sana na nywele zako mpenzi achana na mawig yanakuzeesha na mie niko kama weye nikivaa mawig nazeekaje ila nikiwa na unatural wangu nakuwa kama kigoli na kilamtu ananisifia so huwa naweka mawig kama manywele sijayatengeneza mana saa ntingine naona uvivu si unajua natural hair ila kwa wewe yani unatoka chicha sana na nywele zako mpe hongela muzee kwa kuchagua kivazi class.....

    ReplyDelete
  4. umependeza ila hii styl sijaielewa labda cause mi ni mshamba than u. lovely face, nitaelewa taratibu.

    ReplyDelete
  5. mh mimi nasema ukweli hupendezagi na nguo kabisa my dear, au labda huna damu ya nguo, ni vile tu unavaa kujistiri,ingekua vinginevyo mwe big nooooooooooooooooo pole

    ReplyDelete
  6. Ni mara yangu ya kwanza kuingia humu na nimeangalia older post mpaka 2012 kweli nimependa na nimevutiwa na vingi humu. napenda uvaaji wako na familia yako pamoja na mengi ya kumtukuza Mungu mana bila kushukuru na kuomba ulinzi kwake, unaonekana mkarimu sana. niliguswa sana na maneno uliyoandika wakati Mama anaumwa akawa amelazwa, kweli nimepata blog ya kufurahisha na ya kujifunza. umependeza kila nguo upande wa nywele nitaangalia taratibu then nitacomment. Ubarikiwe

    Mdau kutoka Arusha Tanzania

    ReplyDelete
  7. mdau hapo juu your more than a hater, mama wawili hana damu ya nguo????? kati ya mablogger wakibongo muke ya Slay ni mmojapo wenye sex body na nguo huwa haikatai hata avaaje we labda mgeni humu ndani. ongea jingine

    ReplyDelete
  8. Loo dunia ina mambo watu wana wivu cjapata kuona we mdau hapo juu acha wivu huyu dada anapendeza na ana damu ya nguo weka na wewe picha yako tukuone tukulinganishe tuone ulivyo anyway wengine huwa ni maagent wa shetani wametumwa na baba yao ibilisi. Usikate tamaa Rose you are blessed shetani na maagent wake washindwe kwa jina la Yesu!

    ReplyDelete
  9. HONGERA SANA BABA WAWILI KWA KUMTUNZA MKEO HIVI,DADA UNOSILE SWEE

    ReplyDelete