Pages

Ads 468x60px

Friday, June 21, 2013

NIMEKUBALI


Jamani  sijui niliwekaje  hili  but all in all guys ukitaka kuwa maarufu mjini jisogeze  kwa mama Bhokezo duuu!!!  yaani hiyo air time ilivyoniletea wateja humu mweee nilihisi virus ha! ha! ha!  ushauri wa bure kwa wale wapenda umaarufu wa bure  yaani we jiweke tu karibu  au muwashie moto halafu uwe huna uwezo wakuuzima kwa hilo huwa natamani mlokole mie nifunge nakuomba kwa ajili yake kwi! kwi! kwi! nakuwaga na wasiwasi sana km ndio kurudi kwa Yesu hii kwa wapendwa zaidi  halafu  yuko kwenye moto anaweza kuthubutu kumwambia siko tayari kwa sasa naomba urudi badae mpaka niuzime huu moto (joke)  otherwise kuna vitu vingi huwa najifunza kutoka kwake  ambavyo ukimuangalia kwa jinsi yakibinadam huwezi  ukaelewa lakini ana neema fulani ambayo hata kinasie walokole ni wachache walijariwa kuwa nayo( ni NEEMA) ukiangalia hiyo post aliyotoa ya mdogo wake some of you mtanielewa nini namaanisha...........

 WANDUGU HUU UJUMBE HAPA CHINI NAJUA NILITAKIWA NI INBOX LAKINI KWA SABABU MAALUM NIMEONA NIPUBLISH

Dear Mange ahsante kwa promo na willing yako yakunitumia small size for free, nashukuru sana kwa hili ni kweli nililiona tatizo ila nilijua nikianza fujo fujo zakuanza  kukuinbox nakukujua jua sana mwisho wa siku yatakuwa yale yale............. nilichojifunza kwako watu huwa tunakupenda mnooo, na kuanza kukuinbox inbox mda mwingine  tunakosa chakukwambia tunaanza kuleta ujinga wakukujua sana mwisho wa siku tunageuka kuwa adui, tunashindwa kukubali km tulivyokupenda tunalazimisha kukubadilisha wakati anayebadilisha ni Mungu na sio wanadamu na tunashau km hivyo ndivyo tulivyo kukuta na ndicho tulichokupendea na zaidi ya yote tunaishia kuwa maarufu wakijinga wakati tukija kwenye real life it is not us................ ILA naona hili limekuja kwa muda muafaka nilikuwa namzigo mkubwa mno moyoni mwangu leo bora nilitue huwa najiona mwizi kwa hili ila huwa nashindwa  nilianzaje  wapendwa tunasema Bwana amefanya njia HAHA!HAAA!nilikuwa na mzigo kweli moyoni  ila nilihisi ntakuwa maarufu km hivi kwa mda usio sahihi ha! ha! ha! ha! ni hivi Mwana wa kimambi uliwahi kunitumia nywele mara mbili kwa maana nyingine moja ulijichanganya na kwa sababu mimi nimeridhika na huku uchochoroni kwangu nilijikuta nashindwa kukuface ntakuwa maarufu nikajikuta na uchuna huku nafsi ikinisuta sana kwa hili mpaka nilipo agiza hii na ilivyochewa kidogo nilijipa moyo kwamba hiyo nayo itasumbua km nywele lakini sikukumbushi  ili tuwe tumemalizana  kimya kimya bila wewe kujielewa ila nafsi yangu itakuwa huru maana bei zake almost zinalingana ha! ha! ha! sasa basi  naomba hiyo ya free tuwe tumemalizana  kwi! kwi! kwi! 

muwe na weekend njema wandugu...



15 comments:

  1. mh..sasa wewe mdada ulivyoona amekutumia 2 na wewe ulilipia moja si ungemrudishia au ungemtaarifu kuwa ametuma mbili may be moja ilikua ni nyongeza.....au? sio vizuri hasa kwa mtu aliyeokoka kufanya namna hiyo ...haitofautiani na wizi na uongo!...sasa unachotakiwa kufanya sasa ni kuilipia ile moja iliyokuja bila malipo ili ajue kweli unamaanisha unachosema kwamba roho ilikua inakuuma....but sio kumwambia eti hiyo nguo asiitume ndo itakua imejilipa na hiyo nywele! sie walokole hatuendi hivyo...plz..

    ReplyDelete
  2. Hongera Rose Mama wa wawili , Nimekupenda na maisha yako na watoto wenu Mliobarikiwa

    Inaleta raha kuwaona Watanzania Wenzetu sehemu mbali mbali za Dunia

    I pernonaly Like you


    Mange's Funs

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe ni mange

      Delete
    2. Get a life hater..kila kitu lazima ukiassociate na Mange

      Delete
  3. Hapana,unachotakiwa fanya ni kumtumia hela ya nywele ili kumaanisha kweli ulikuwa wajiskia vibaya..tafadhali.afu yeye akutumie tu hyo top

    ReplyDelete
  4. Wewe nawe ishi maisha Yako umaarufu wa nini ?

    ReplyDelete
  5. Wewe nawe si ungemtumia tu pesa yake
    Umeona amekufanyia roho safi na wewe unataka kujikosha loo
    Tena afadhali ungetuma huu ujumbe private loo maana unajishusha

    ReplyDelete
  6. Mlokole jina mmemuona...hahahahaaaa....Mange roho safi yule ndio maana anabarikiwa na kufanikiwa...Lipa hela ya watu acha kujikoshaa hapa

    ReplyDelete
  7. Unapenda promo na umaarufu kumbe...kwikwikwiii

    ReplyDelete
  8. NYIE WADAU MBONA KM SIYO WAELEWA..MKOJE..NI KIPI CHA UBAYA ALICHOKIPOST MWANA WA MWENZENU...JIFUNZENI KUWA NA ROHO ZA KAWAIDA KM SIYE WENGINE KUTWA KUKOSOA HATA PASIPOKOSOLEKA...Mama wawili fanya unachoona kwako kinakupa amani

    ReplyDelete
  9. Hey people who are you to judge her, no body is perfect in this earth and that include you annony who put negative comment, listen only Jesus was perfect. Let me give you a hint in order to succeed try to be positive always. And msihukumu mndugu zangu kwani ni Mungu pekee ndiye anaye hukumu. Na there is no way huyu dada kasema ameiba eti nywele za dollar 50 au 60 au100 au bei yeyote, dada mwenye kumiliki million dollar house na expensive cars.that is just to embarrass her. Angalieni kinachowatoka midomoni au mioyoni mwenu isije I kawa laana kweni wenyewe.

    ReplyDelete
  10. kweli nimeamini wewe mama wawili mswazi, sikuona problem ya Mange lakini mi ni mpendwa mwenzio ati, ila next time usipende kuandika dibaji ndefuu, why cant you call her personally my dear? huoni kama unajiharibia upendwa. nakushauri usipende kuandikaaaaa saaaanaaaa sometimes. by the way uswazi ndio kwetu, jasiri haachi asili.

    ReplyDelete
  11. mmmh! kweli ubinadamu kazi, hata ufanye nini wa kusema hawakosekani. Mbarikiwe nyote.

    ReplyDelete
  12. Nakupendaga bure tu dada

    ReplyDelete