Pages

Ads 468x60px

Monday, June 3, 2013

THE LOOK

habari ya Mama wawili inamchukua miezi kuongezeka kg 5 na inamchukua wiki moja kupunguza kg 5 sijielewi just 2months ago hiki kisuruali nilikuwa hata kufunga shughuli heeee!!! kwa kweli nahitaji maombi ya mwili  kwi! kwi! kwi!
muke ya Slay

jamani na kiwinter hiki mnauza vikoti km hivi rangi tofauti tofauti holla me pls
mama wawili

1 comments:

  1. I like your blazer muke ya Slay...umependezaa


    Mdau-Musoma

    ReplyDelete