Pages

Ads 468x60px

Thursday, June 6, 2013

HELLOW TANZANIA

 Poleni sana na msiba wandugu na pia poleni na yule mwanadada anaenyongwa kesho nchini misri kwa ajiri yakukamatwa na madawa yakulevya......................  lakini, ninachoamini kila kitu kinaruhusiwa kwa sababu .....kiwe kizuri au cha huzuni km hii iliyotukuta , kuna kitu tunatakiwa tujifunze hapa, hasa kwa sisi nguvu kazi (vijana) naamini hii nisafari ambayo kila mtu ataiendea kwa muda sahihi..... nina mengi najikuta natakiwa kuyaelezea ila na wasiwasi mapokeao hayatakuwa sahihi...... km  mjuavyo wakati wa majozi mara nyingi watu tunategemea kuambiwa pole na story nzuri nzuri za kujiliwaza na pia atakajitolea kwenda kinyume kidogo anatakiwa awe na busara ya hali ya juu maana anaweza akajikuta amejiweka kwenye nafasi yakuhukumu wakati kuhukumu ni kwa Mungu................ wadau kikweli tunatakiwa kukaa chini nakujifunza hili ni zaidi ya vile linavyoonekana....................

MAMA WAWILI

FOLLOW BEYOUBLOG ON INSTAGRAM
mrs Mbeyela
Muke ya Slay
mama wawili

4 comments:

  1. well said madam!umetoka chichaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  2. Ukiwa na nywele yako you look most beautiful and natural. Kubadilisha style siyo mbaya dear you are blessed!

    ReplyDelete
  3. NIkweli ndugu yangu..ilakuhusu mwenzetu aliyekamatwa kuna ndugu yake istagram kajitokeza anasema nikweli kilichomkuta ndugu yao ila bado hajafikishwa maakamni...WANDUGU TUJITAHIDI KADRI IWEZEKANAVYO TUWE KARIBU NA MUNGU HILO NDILO SULUHISHO TOSHA KTK HII DUNIA YENYE MAJANGA KILA KUKICHA..

    ReplyDelete
  4. Sanaaa wadau na nyie mmeona kumbe akiwa n nywele zake she luk so pretty akivaa hilo wigi halimpendezi ukweli mawig yanatukomaza sura sana jaman tujitahid tuwe tunavaa mara moja moja

    ReplyDelete