Pages

Ads 468x60px

Thursday, June 20, 2013

MAMA WAWILI

 Ila jamani umaarufu kazi sana muda mwingine unaweza ukafanya kitu ambacho hujitendei haki mwenyewe kwa sababu ya kulinda hadhi yako ....... nimewaza tuu kwa habari ya watu maarufu hasa kwenye suala zima la uvaaji ikiwa ni pamoja na kurudia nguo km mama wawili kwi! kwi! kwi! yaani hata km hicho kitu unakipenda  ukisha vaa tuu kurudia utahisi jamii itakushusha hadhi duuuuuuu!!!! japo kuwa kuna wakati mwingine ni nzuri sana kutunza hadhi yako, kwa mfano unapokuwa mkweli ( muwazi sana) unatakiwa pia uwe na hekima sana maana bila hekima hapo unaweza ukabomoa na kupotosha maana kamili ya uwazi wako.................. TUTAZUNGUZA HILI.

MUKE YA SLAY


          MAMA WAWILI

NAWAPENDA MNOOO

5 comments:

  1. Umependeza sana unapoishi maisha yako usifate watu wanasemaje alimradi heshima yako haishuki. so nafikiri mambo ya kuiga sio mazuri kabisaaa.

    ReplyDelete
  2. Kwani wewe Una umaarufu gani ? Hivi Kuwa na blog ndio I celebrity kazi mnayo .wewe ni mhaya ehhh

    ReplyDelete
  3. hilo pozi la kupindisha miguu badili sasa ...walioanzisha wakinashamimu mwasha washalichokaa,,,wee ndio unakomaa nalo.wabongoooo

    ReplyDelete
  4. Kwanini watu mnakuwa na chuki bila sababu???

    ReplyDelete