Pages

Ads 468x60px

Monday, June 24, 2013

FINALLY AM HOME



Mama wawili
Mr & Mrs
hawa watu mara nyingi huwa siwakuti na mtoto wakitanzania na nimekuwa nikinia kuwa na mtoto ambaye simjui ila awe Tanzania @ list hata nikija home naenda kumtembelea nakujuana  naye zaidi nilipopita tu akanidaka nikamuuliza una mtoto wakitanzania akanambia Yes!!!! nilisaini mkataba faster so kila mwezi nakatwa  pesa kwenye bank account yangu kwa ajili ya mtoto wangu wa hiari wa kike mwingine wow!!! i  cant wait to meet her ( Dada wa Careen & Cristabell) 
km  kweli  hawafanyi kwa ajili ya maslahi fulani hawa watu wanahitaji kutiwa moyo mnooo....
us
aawwww!!!!  nimefika nimewamiss wawili mmnnooooo!!!
muke ya Slay
mama wawili
habari kamili last week end Baba wawili alimpeleka mkewe kwenye kitchen party fulani umbali km 600(lets say Dar to Iringa) kila kitu kilienda shwariiii..... wakati wa kurudi sasa tupite kujaza mafuta kabla ya safari poor Baba watoto wangu asijaze diesel  badala petrol anakuja kustuka kashaweka km $ 20   hatutakiwa kuliwasha nikuja kubebwa na kutolewa mafuta......... asubuhi ya leo tunaambiwa mpaka kesho tena duuuu!!!! wawili wetu tuliwamiss mno ikabidi tubadilishe usafiri.tunashukuru Mungu tuna super wapendwa watatushughulikia no doubt!!!! 
 tutakumiss kwa week kadhaaa ha! ha! ha!

5 comments:

  1. Naomba hicho kikot plus surual n shirt n shoes!!!umependezajeeee kama beyonce..u look gud ,sexy n attractive

    ReplyDelete
  2. Mie nataka hiyo blouse/shirt... my dear I was in Western Australia last week yaani nilitamanije kukuona maana am fun of your blog na nakupenda mno mdogo wangu (am sure niko older than you by far lol) nilitamani kukuona live ila ndio nimesharudi Tz. Next time Mungu Akipenda.

    ReplyDelete
  3. nilishapata hilo tatizo mara nyingi gari hilo hilo poleni sana

    ReplyDelete
  4. Tuombeane uzima next time nikija nitakutafuta. This time nilikuja Sydney for a global conference then ndio nikaamua kukata mitaa kusalimia ndugu na jamaa.

    Am planning to come during easter with my wawili, only mine are of different gender.

    Ubarikiwe Sana, you inspire so many of us nauhakika.

    ReplyDelete