Kuna kitu chakiubunifu hapo lazima ujifunze eti eeh! binafsi nimependa combinations za colour na tray...... naamini aliyetengeneza hii gift aliangalia sana colour combination........... anyway! nimeshamjua aliyemtengenezea na alijua wapi atakaponikamatia.... i love everything aisee.
Kaka zangu kama mnanisoma huko please vitu kama hivi means a lot kwa mwanamke aisee....... sometimes hata havihitaji bajeti ya hivyo yaani......... Please do kwa mawifi zangu please. na ahsante kwa kufanya i know how much hivi vitu vidogo vidogo vinavyoleta maana kwenye maisha ya mwanamke.
Kwenye suala la shopping yes i trust him..... kuanzia mimi, wanae na hata grocery shopping ni mzuri mnooo...... am thankful
Zawadi ya mwangu Cristabell nimejieleza kwenye clip ila sema kwenye picha nimechanganya kikombe ni cha Careen
Big sister na ujumbe wake humo.
Ahsante YESU
Enter your comment...waaooohh ua blessed.
ReplyDelete