Pages

Ads 468x60px

Thursday, June 13, 2013

THURSDAY LOOK


MUKE YA SLAY
MAMA YA WAWILI
Rose Mwinuka wa Mbeyela

6 comments:

  1. you look mwaaah! natumaini utafatilia ushauri unaopewa kuhusu nywele zako zinakupendeza sana.

    Mdau Arusha

    ReplyDelete
  2. looking good.mie penda wewe sana

    ReplyDelete
  3. Mi nakufa na kabody kako utadhan hujazaa bana hadi raha

    ReplyDelete
  4. kweli kama ulivyosema unapenda kusimama kwa kupishanisha miguu miguu ina matatizo gani? Haya basi simama dede. You look mwaa!

    ReplyDelete
  5. sasa umeanza kuelewa ushauri. yaani we binti una nguo nzuri sana tatizo lilikuwa kwenye nywele yaani ulikuwa hata uvaeje nywele zinzkuangusha lakini sasa gudo. yale manywele sijui French cut waachie wenyewe we piga hizo au ile ya curly pia ilikukubari sura yako. otherwise u look gudo mama wawili

    ReplyDelete
  6. Jamani jamani nikishusha ntafanyaje zoezi ili na mie nipungue!!! yani nilikuaga na mwili kama wako mama wawili but kwa sasa ni majanga nimekuwaje bonge ahahahaha
    Hope nitajituma zoezi na kupunguza msosi unene mbaya jamani...Umependeza sana Muke ya Slay.

    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete