Pages

Ads 468x60px

Sunday, June 23, 2013

NI UPEPO TUUUUU

Tusameheane  wa ndugu yaliyopita ni upepo tuu..... mwanadam anakosea, wakati mwingine anakosea kwa makusudi na mwingine bila kukusudia yawezekana anapotenda mazingira yalimfanya asijitambue km anamakosa au ni kweli halikuwa kosa ila mapokeo kwa jamii yalikuwa tofauti na lile alilonia kulitoa moyoni,  na kwa sababu jamii imeshalipokea kinyume na matarajio ni ngumu mno muhusika kulibadilisha............TUKISEMA HATUNA DHAMBI...............................

Mama wawili
muke ya Slay
namejifunza na nina endelea kujifunza
kuna umuhimu mkubwa mnooo wakufikiri kabla yakutenda

ufalme wa mbingu hauangalii tumeanzaje bali tumemaliza 

ahsante  Baba watoto wangu  najivunia kuwa ubavu wako........... unanielewa hapa ukinisoma mengine tutaongea chumbani ha! ha! ha!

3 comments:

  1. bidada hizo picha ni nzuri lakini katika zooote ulizopiga mimi nimeipenda hiyo ya pili kutoka juu hizo zingine unaonekana kama hujiamini otherwise umependeza

    ReplyDelete
  2. Mama wawili umendezaje sasa?!!! Love you sister

    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete
  3. Pendeza weye! Bwana na apewe sifa...

    ReplyDelete