Pages

Ads 468x60px

Wednesday, April 20, 2016

LA FAMILIA.............

Hamjambo humu kwetu??? kwetu  utukufu kwa Mungu kwa kweli, vyovyote ilivyo huwa tunaamini Mungu karuhusu   so we always go with the flow........ kama ni sad moment basi tunajitahidi sana kuomba amani ya Kristo ili turudi kwenye mstari na kama ni furaha time he!he!he! we always do our best to make memory...........

 Haya hizi picha za mafichoni kama kawa tukiwa mafichoni mapicha ya mtu nne hayakosekani ha!ha!ha! 

 haya twende kazi


Mama ake nani huyu???

Mapozi vepe


 na wawili wangu
 yaani hili pozi ni letu aisee mapicha huwa hayaishi km hatujafanya hivi ha!ha!ha!

 asikwambie mtu mtoto wa kike ni wa Baba yaani kikikikiii Jamani sijasema nataka maombi hapa kha!! hamchelewi kufunga na kuomba kwa ajili yangu ha!ha!ha! nikiwa tayari ntawambia msijitie kimbelembele  ha!ha!ha!

roho zangu



nani hawa etyi..........

kujibebisha vepe.........




Tunawapenda.............

2 comments:

  1. akuombee nani wote tuna yetu ya kuomba ha ha at times nakuoneaga huruma hivi unaona tunakupeeenda na kukuhusudu ehpole sana unajichukulia tofauti bt sio kosa lako upo ndotoni bado hujaamka bi kidude

    ReplyDelete
  2. Pople can be mean.
    sasa hasira za nini binti? Ahaahaahahhaa HUU MCHEZO HAUHITAJI HASIRA.. Meza wembe basi mxiiiuuuuu..

    dear wala usivunjike moyo kwa ujinga wa watu wachache.

    ReplyDelete