Eeh bwana situkafanya boat cruise...... lengo kwenda tuu kuona wenzetu wanavyoishi............. mi na Baba watoto wangu tumekutana yeye anapenda mnoo kucheza majini, yaani kunamichezo anachezaga mimi pembeni nahisi roho inatoka ha!ha!ha! lakini mi mkewe napenda view ya maji aisee ........ yaani ukinipeleka mafichoni km ni eneo la maji maji naomba chumba kinachotazamana na maji yaani kwa garama yoyote ntajitutumua (iwe ndani ya uwezo wangu lakini ha!ha!ha!) ila kuingia kwenye maji sasa ki!ki!kiii!
Basi bwana tukafunga safari huko yaani nyumba zimejengwa back yard mtu kapaki boat lake duuu!! we unafunga safari kwenda kuangalia dolfin mwenzio ndo nje kwake anapumzika ha!ha!ha! tunajifungaga safari humu ndani kwenda fishing wenzetu wanafish nje ya nyumba ....... Duuu!!! ila kiukweli huku mafichoni ninakoendaga aisee kunanipaga mtazamo tofauti aisee..........
na hii nimejikuta sina hela ila ndoto zangu zinakuwaga kubwa mpaka naogopa na pia imetusaidia sana kuona vitu kawaidaaa....... nakutokuwa na haraka zaidi kujipanga.... Yes inawezekana mbona nilivyokuwa umri fulani niliwahi kuaminishwa hapa nilipo ningeweza kuona kwenye Tv pekee yake yaani ni ndoto kuwa !!! leo najiona ni zaidi ya ile ndoto basi na haya mengine yatawezekana Mungu atupe uzima nakuzidi kutuangazia neema yake.....
It is possible with Christ.........
nani hawa
Ndoto! andika ndoto yako.........
Hapo Dolfin alipita ndo kumshangaaje sasa Ha!ha!ha!
Yes hii ndio ninayoizungumzia, Hizo nyumba za watu tuu kama mimi na wewe, tena nikuambiaje nilivyokuwa napewa historia niliambiwa wengi niwale walioretire ndo wamekuja na hela zako Bwana wewe why wait mpaka huko kote????? Why why why...........
Tulivyokuwa wabishi mbona tuliwasiliana na wauzaji ha!ha!ha! Mambo mengine yanatisha tuu kwa picha ila yanawezekana afanye akili yako iwaze tofauti............... na utakuwa tofauti
Memory
Tunawapenda
Wazungu wanasema "if you believe it you can archive it"....... Maficho mema na mjienjoy!!
ReplyDeleteMmenogajeeee!!! mweeh vinawezekana kweli??
ReplyDeletemama wawili jamani nimekumic huku uje hata ukifanya kwa wiki mbili once sio mbaya, pulizzzzzzzzzzzzzzzzzz.
ReplyDeleterose uko wapiii
ReplyDeleteSijatekwa mpenzi nipo njoo Instagram Wangu @rose wa Mbeyela
Delete