Pages

Ads 468x60px

Thursday, June 27, 2013

TWIN PEAKS PURPLE BRA NIGHT

Wandugu ilikuwa changia mfuko wa cancer ya matiti(fundraising)  nilijifunza mengi mnooo km na kwetu tungekuwa tunazifanya kihivi duuu mbona kwa pamoja tunaweza!!!!!  kwa maana nyingine pesa kati ya asilimia mia moja asilimia tano tuu ndio iliyotumika km gharama ya shughuli tisini na tano zote kwenye mfuko na kuwafikia walengwa na kila alieingia amenia haswa  kuchangia .......maana ticket yake sio ya kitoto halafu uingie ukutane na vibiskuti  ha! ha! ha! kina sie tunaandamana na kulalamika tunasahau  lengo kubwa la shughuli..........  kulikuwa kuna minada ya hapa na pale ambayo thamani ya hivyo vitu haikuwa kubwa lakini kwa sababu watu wanania walinunua kwa gharama kubwa ili kufikisha lengo........mnisamehe mwenzenu nimeona nilizungumzie maana zile za kwetu nyingi nilizozizoea asilimia tisini na tano ya mapato ndio gharama za chakula, ukumbi,watumbizaji, na mengineyo halafu asilimia tano yawalengwa na  pengine muandaa shughuli naye atajigawia kidogo japo si vibaya maana amefanya kwa nafasi yake @ list hata hiyo tano imepatika....


Mama wawili
happy ladies
with Agy,Vick,&Lisa
gorgeous couple
Mr & Mrs
Lovely Couple
Baba wawili katikati ya mnada
finally


tukishangaa yanayoendelea
people

the team



lisingekosa mteja toroli kwi! kwi! kwi1
yaaaam!!!!

1 comments:

  1. Great pics from a great night Rose. It's hard raising funds for charity!

    ReplyDelete