Pages

Ads 468x60px

Tuesday, June 25, 2013

WITH MY GIRLS


Niliwamisije sasa????
ha! ha! ha! mwanangu Cristabell jamani namapozi yake km anaionea aibu Camera vile......
Careen sasa anapendaje picha
happy girls

am blessed.......... sina chakumrudishia Mungu kwa kweli hawa watoto ni Baraka kubwa kwangu haifananishwi na chochote.....................
wakati mwingine najichunguza sana ninachoishia kukiri ni kwamba...... Haya yote ni kwa neema  sina ukamilifu hata kidogo
Neema ya Mungu ikaendelea kuwafunika wanangu............bila kusahau tuko na Bibi anashop huko
nimenunua kesi kuwaleta hii section Mweee


yeeeeh !! finally tumemsnap Bibi  akifanya yake  akiwa na figili mkononi..........wandugu msimwambie Bibi km mmemuona atanunaje kwi! kwi! kwi!
we are home!!!!!!

sasa tunaweza muachia Mumy akampikie mumewe maana kalishwa vya hotelini mnooo.....

1 comments:

  1. Huyo mkubwa anajua kupozi kwenye picha and she is photogenic hata kadogo kake kazuri pia

    ReplyDelete