Pages

Ads 468x60px

Wednesday, June 26, 2013

ONJA

Jamani mwali wetu hatakiwi kuonekana NO CAMERA ndo ulikuwa mpango mzima  kwa ujumla ilipendeza  mnooo dress code ilitendewa haki na kila mmoja soon after harusi mtarushiwa picha kwi! kwi! kwi!
mama wawili
muke yake
amekuja kumpick mama watoto
jamani hizi hapa chini simu haikututendea haki........
with gorgeous Jesca

with cute Neema
 with beautiful Mariam

4 comments:

  1. UNA KIJISHUZI BI DADA HONGERA SANA HUYO NEEMA MZURI SANA.......

    ReplyDelete
  2. Pendeza sana ila kwa macho yangu hukuitendea haki nguo yako na rangi ya hivyo viatu

    ReplyDelete
  3. umependeza sana mama wawili jamani viatu natamani ungevaa black.

    ReplyDelete
  4. Kijishuzi cha bandia

    ReplyDelete