Pages

Ads 468x60px

Monday, August 17, 2015

MAMA WAWILI...........


Na ubora wake........ ha!ha!ha! hii misemo mnanifundisha nyie wenyewe.........

 juzi kidogo nimwambie Baba wawili ingekuwa kipindi kile anatoa mahari ndo nilikuwa mcharo hivi weee ningekomaaje na wanduguzi maana duu!! walimkomaliaje na mimi niliwakomalia live yaani niliwaambia mkiendelea kumkomalia najimuvuzisha yaani ha!ha!ha! maana ningeringa tuu ingekula kwangu.............. khaa!! maana kasura kalijaa mkorogo wa hatari, full stress, yaani  nyie acheni Bwana......ha!ha!ha! ila unajua nini na yeye alijua anachokomalia ha!ha!ha! wanasema deal deal aliona mbeleeee................ kama unafikiri mwanamke sura au urembo ndio ndoa wee endelea kusubiri ha!ha!ha! nyie nawatania bwana  your better half anatoka kwa Mungu haijalishi muonekano wako wa nje.... hii mionekano ya nje inatudanganya sana... Mama yangu kaozesha mahouse girl wake huwezi kuamini kwanza hata kutegemea lakini sasa ni wake tena wake bora...........  all in all mwamini Mungu.

kununa sasa......... +++ domo kudondoka hatariiiiiiii

Mama wawili

4 comments:

  1. Love how you mixed two prints together!
    www.anicheberry.blogspot.com

    ReplyDelete
  2. Mpendeza sana mama wawili

    ReplyDelete
  3. kwenda huko we shukuru umepata mtu uzuri matters a lot shoga

    ReplyDelete
  4. Mama wawili yani una shape nzuri sana....ni mazoezi au? Mama wawili mwenzio....sijaingia humu long nilikuwa busy...lakini napenda sana blog yako ....very classy

    ReplyDelete