Pages

Ads 468x60px

Friday, July 31, 2015

THE LOOK........


Hichi kiatu nimegundua miezi miwili ijayo hakitazamiki ha!ha!ha!ha! yaani nakivaa mpaka kinaongea kha!!


 Ka dada fulani hivi kapoleeeee!!!




 Tabasamu hili liwafikie wadau wangu wote wa ukweli......... kuko kimya lakini niwathibitishie tuu!!! God is good jamani nyie!!!!!! mi mpaka naoga sometimes........ ila unajua nini ushuhuda lazima utoke, ni vile kuna muda ulioruhusiwa  na ndio muafaka kuutoa........nyie endeleeni kunichungulia. kikubwa ndugu zangu hebu acheni Mungu ashughulike na jambo lako aisee..... unaweza ukasubiri lakini kusubiri kwake huwa kuna amani fulani  hivi isio na stress, kuliko ukitegemea sana  akili zako kwanza unaweza usipate kabisa!! au utangojaa wee mpaka ukate tamaa....... Hata ukipata huwa unakuwa umeshachoka kabisa, maana umetumia nguvu nyingi....... Na wakati mwingi kinakuja sio kivile ila kwa sababu unataka kuthibitishia akili zako kimepatikana.............. Acheni Bwana Mambo ya Mungu hata kama kuna upinzani utajua tuu upinzani huu niwa akili zako na kusudi la Mungu au shetani na kuzuia ndoto zako........ Sio kila upinzani unaoupata unatoka kwa shetani waweza kuona upinzani kumbe akili yako ndo imeipa jina la upinza kumbe ni namna ambayo Bwana anasema na wewe.
Nisemaje sasa kama sio neema ya Bwana!!!!

Nawapenda Muwe na weeend njema.

No comments:

Post a Comment