Pages

Ads 468x60px

Tuesday, July 28, 2015

NIPOGO........

Wapenzi wangu mnivumilie tuu mwenzenu huku kimebana mnoo nafanya kuchungulia tuu mitandaoni .Yaani ni hivi Mwaka wa fedha umeisha june sasa mama wawili  niko busy na kusugua magari nilijisahaulisha paper work  ambazo nilitakiwa kuzisubmit tangu mwezi uliopita Serikali hizi za wenzetu ukicheza kidogo hawachelewi kuja kukufungia biashara ila mi naona wamenizoea duu ni zima moto style kuanzia shule mpaka mzigoni kama unione ninavyojistress ha!hah!aha!............ Ninavyoijua hela mkinga mie nimegoma kumlipa mtu anisaidie  so usiku umegeuka mwanga kidogo ha!ha!ha! najui Biblia imesema ole wao waugeuzao usiku............. ha!ha!ha! sio kihivi ninavyofanya mimi bwana........... yangu imekaa kiasie fanya kazi na asile ki!ki!ki!(najitetea) Wakati huo huo mzigo unaendelea during the day kama kawa yaani........., Chezea hela za mabox

Haya basi muniwone segito kidogo
Excuse ze mwanga wa jua.........

ntapita tena ndani ya wiki hii ila nawapenda mjue.....

2 comments:

  1. Lovely floral skirt
    www.anicheberry.blogspot.com

    ReplyDelete
  2. mashallah una mwili mzuri , umebarikiwa haya mama wawili nikutakie ubebaji mwema wa mabox, wasalimu wanao .

    ReplyDelete