Pages

Ads 468x60px

Monday, July 13, 2015

TOTOZ DAY....................


Leo bwana nimejikuta nimeikumbuka hii familia ha!ha!ha!ha! nimekuja kupost nikakumbuka hee kumbe nina picha zao humu sikuzipost ha!ha!ha! walikuja kunitembelea wiki km moja mbili zilizopita ila ndo kwa siku moja tuuu......... Sema nini tulikuwa tunapiga story sana na bimkubwa muda wa kukumbuka Camera duuu!!! tushachelewa baadhi ya matukio.........Tatizo Bimkubwa  mi nishakwambia haya mambo yakutuonjesha haya duuu!!hatutembeleagi watu kwa kudonoa vile Bwana kha!!! Tafadhali urudi tena tukufaidi vizuri ha!ha!ha!ha!

Aunt Zawadi na wanawe........



Wale kina nani wale?


 Leo na wawili wameonekana maana siku hizi nawafichaje? naogopa mwenzenu mara moja moja sio mbaya hii ya kila siku wakikua wenyewe wanaweza kunibadilikia chezea toto za doti com. hawachelewi kukupeleka haki za watoto haha!haa! Matukio km haya @list ntakuwa nachakujitetea kulikuwa na matukio maalum yakuwatoa ha!ha!ha! maana  kina Mama na sisi tulivyokazana kuwaanika wanetu mitandaoni kha!! yuko chooni tumemuanika,anakunywa uji tumemuanika, mara pajama,yaani 4-5 times a day unatafutiza tuu ili umwanike........... Mwenzenu najifunza mdogo mdogo km ishu ni umaarufu mitandaoni ntakomaa na the look viwalo vikiisha kauka nikuvae sina shida ha!ha!ha!ha!

Hawa hapo tena.....


Kuna mtu alikuwa anaogopa hayo majamaa

Aunt Zawadi urudi tuje tumchape huyo mchina sijui muhindi ha!ha!ha!ha



Fishing time



Cristabell sio kwa uongo huo kha!! nguvu zote hizo anavuta nini sasa........... Wadanganye Shangazi  na wajomba zako humu Mama yako hujanipata bado

Pendo naye in style ha!ha!ha!

Dogo nae alionysha Aunt yake next time nikija ujue viwango vyangu ha!ha!ha


Tumawapenda Mnooo

No comments:

Post a Comment