Pages

Ads 468x60px

Wednesday, July 8, 2015

YUPOGO..............

Ila kuringa ndo najua siku hizi duu!! Camera nimeizoea naona hahahaaa!

ila  jamani tuongee ukweli make up nayo imenibeba mwee!!!

 haya basi mfanye kuniungisha basi na nyie mpendeze ha!ha!ha!ha!  bonyeza link hiyo www.youniqueproducts.com/beyourose kuona siri ya urembo wangu halafu nyie mliopo Marekani, Australia, New Zealand,Canada na Uk ole wenu muingie bila kuniungisha nawapingua urafiki ha!ha!ha!ha!


ni marufuku kuvaa maua kipindi cha winter ha!ha!ha! ila sema nini Mama wawili mnyalu ushamba kawaida nimekomaa yenye roho inataka.........

 Hadi deko limeonekana chezea make up wewe????

Nawapenda

1 comments:

  1. Umependea sana hio cheni ni nzuri sana na ukamechisha na trouser na kiatu umenoga kwa kweli!

    ReplyDelete