Pages

Ads 468x60px

Wednesday, February 6, 2013

CAREEN'S 1ST DAY TO KINDERGARTEN

Leo nimesifiwa na Careen jamani duuu......

ninamvalisha na mwambia uwe mtoto mzuri leo shule kanijibu Yes mumy and mumy, ur r a best mumy aaaand i love you. in careen's voice aaawwwwwww!!!!!!! km ningemrecord vile...
here she is..............
miaka minne si mchezo ahsante Mungu kwakuniwezesha

hapa aliniambia mumy stop taking picture we are late............
ushoga uliisha tulivyofika tuu kawa mwenyeji hahahaaaaaa
nasubiri kusikia chochote ninapoenda kumchukua maaana walimu mbona watamtambua........

ile naweka vifurushi vyake kugeuka namtafuta hapo ndipo nilipomkuta ilikuwaje mimi na wewe hatujui.........
habari ndo hii


namuaga watoto wengine wanalia yeye alijua kunikiss nakuniambia i love you mum..........

No comments:

Post a Comment