Pages

Ads 468x60px

Monday, February 18, 2013

TUZUNGUMZE

   
Kwa kweli lazima nilisema nisiposema litanikaba bure mnisamehe bure wandugu................

Yaliojiri huko nilikojificha last week, kwa kweli namshukuru Mungu anazidi kunitoa ushamba mwee vitu nilivyokuwa naviona kwenye luninga  ya jicho moja sasa hivi naweza kuviona live  live...... jina la Bwana libarikiwe.... yawezekana kwako ni kawaida  kwa mama wawili ni ushuhuda 
.Alijisemea na Mama Mchungaji wangu " km si neema ya Bwana kunitoa kwenye vichwa vya dagaa na nyanya moja unayotia mchuzi mwiiiingi ili upate mboga yakula na watoto week nzima leo nachagua nile nini meza imejaa, fridge imejaa, bank account sijui lini itakauka na haitakauka zaidi yakuongezeka milele" nimenukuu.
haya back to the topic, usiku mmoja tukiwa tunakula dinner hako kajisehem nikakiposh aisee si utani...... watu wanafanya mambo yao na hakuna anayeshoboka na mwenzie mmmmh!!! mama wawili yalinishinda bwana  kwi kwi kwi wanajisemea wenyewe  kazi kweli kweli......... nilikaa  jirani na hawa watu haikuwa karibu sana ila kwa sababu hawa wandugu walikuwa free walijiachia sana kiasi kwamba nilipata kila kitu nilichotaka kutoka kwao kupitia vitendo na hata mazungumzo.

mwanaume alionekana kati ya umri wa 50-60 ila ukimuona tuu unasema huu ni mgodi unaotepembea  binti alionekana 30-35 sasa basi katika zile fujo zakudeka deka binti hatulii, mara karukaruka, mara kasimama mara kaongea kidogo kwa sauti na yote hayo mzee ye anafanya kiutu uzima huku akibembeleza mtoto hahahahaaa( bongo tulikuwa tunawaita makatembo, mapedezeee,sijui siku hizi mnawaitaje ila ndo hao hao) pale ndo akili yangu ikaanza kufanya yao kutaka kujua kulikoni?????? umbea.com ila saa nyingine unahusika ili ujifunze kitu

mara simu ikapigwa zee linamuomba binti amruhusu kupokea binti "its okey honey you can talk to her" mwanaume kasua sua mpaka simu ikakatika  mara message inaingia anaanza kusoma jamani dharau iliyoonyeshwa pale uuuwiiiiii moja kwa moja akapewa binti asome kicheko kilikoleajeeeee???? mara binti darling let us stick to our business........i wanna go for a tour in france before june this year binti hajamaliza kuonge mzee kakohoa Yes honey i will take you aaaaaggggggrrrrrr!!!!!! niligundua anayedharauliwa ni mke ambaye  anajitahidi kwa nafasi yake kuonyesha love kwa mumewe ambaye sijui alimuaga anaenda wapi kumbe kajificha kwenye nyota tano na mtoto anabembeleza.........mama wawili nilikuwa nimemaliza yangu  mpaka hapo nilihisi kutenda dhambi maana nilikuwa natamani ninyanyuke niwape vibao vya uhakika they dont know the real meaning of a wife uuuwiiiiiiiii.

KWA NINI NIMEONA NIKUSHIRIKISHE MDAU

hii ni kwa wale walimo kwenye ndoa na wanaojiandaa hapa hakuna mdhungu wala mchina wala muhindi wote ni wale wale hawa ninao wazungumzia hapa niwazungu sijaona tofauti na kaka zangu wabongo....... piga goti mwanamke lia na  Mungu wako akupe mume aliyetoka kwake. km atakuwa msukuma haya, mwarabu haya usitumie nguvu na akili zako eti kwa ule ujinga tuliojazwa eti ........ ndo bora kuliko........... uongo mtupu na utajuta my dear....

Haya na nyie wakina naniliiiii km yule binti, wapenzi mi sijui umepitia nini mpaka ukachaguo hiyo life style yakina katembo lakini hivi ni kweli kabisa umejaribu njia nyingine halali umeshindwa, au ndo kujiridhisha kwa  mda mfupi then majuto maisha yako yote??????? unawaza nini juu ya yule mke mwema ambaye anasugua goti kwa ajili ya Mumewe ambaye anajua kwa wakati huo anawajibika kwa ajiri ya familia yake, hivi unafikiri Mungu wake ni kiziwi hata asisikie maombi yake???????? najaribu tuu kuwaza km ningechukua video clip nikampelekea  yule mke mwema how does it feel??????? halafu kuna sababu gani kuruhusu  kumzungumzia kwa ubaya mkiwa mnafanya tabia yenu chafu , bora hata huyo basi alifichwa sehem ya maana na ahadi zakupelekwa tour ambayo watoto wamjini mnaita life... to me its nothing.......that is not life at ol  uvivu wakufikiri na kutaka urahisi wa maisha.......kuna wale ambao kipato chake ndo hivyo halafu unafichwa kwenye vi guest vya uchochoroni hata kutoka nje mnatoka kwa zamu km matahira vile hakuna muelekeo zaidi zaidi chipsi kuku na kubadilisha nguo, mwisho wake nini sasa???heeeeeee!!!! nyie haya 

MUNGU HAWEZI PUUZIA CHOZI LA HAKI YA MWANAMKE YULE......... IT IS JUST A MATTER OF TIME........ AMUA LEO KUACHA, TUBU, NA JIONGEZE.

13 comments:

  1. SIYOWOTE WANAOFANYA HIVYO WANAPENDA JAMANI , WENGINE WAMESHATENDWAAA NA WANAUME WAKADAMPTIWA UKICHEKI UMRI NDIO HUOOOO UNAAMUA KUISHIA NA MAISHA YA KUIBA VYA WATU, END OF THE DAY UNAJUA KABISA SI MUMEO , KULIKO SEMA MUMEO HALAFU MKO KAMA FOLENI YA UCHAGUZI MBAGARAAAA..NA KA UKIWI USIKASAHAU HAPO..HAIJALISHI WEWE HALALI AU FEKI

    BINAFSI NINAYANGU MIAKA 34 NIMETEEENDWA UNADHANI AKITOKEA ZEE LA UHAKIKA NITAMUACHA AKU BABU WE ! AM SORRY KWA HILO

    ReplyDelete
  2. hujui kwann katoka nje...ww una mumeo wa kibongo fuata yako....achana na mambo ya watu.Unadhani kushikwa kiuno ndio hakucheat huyo anafanya km huyo uliemuona ila tu hana enough money ya enjoy out of the country na vibinti vyake.Dont judge binti mambo ya ndoa kila mtu ajue yake...km unaona yako ipo sawa mshukuru mungu....Dini imekukaa pembeni ww na shukuru uko nje ungekuwa bongo ugesaga meno na huyo mumeo kwa mabinti....poleeeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  3. inaonyesha jinsi gani ulishindwa kuconcetrate na mumeo...ukawa unatamani mapenzi ya watu.Ila ndio zetu wabongo wivu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Una unavyotype ujuha pole sana

      Delete
  4. Waizi wa waume wa watu mboni hivyo kwa fujo?mmezoea kuiba eeh?hajasema ndoa yake iko perfect kaongelea jinsi wanaume wanavyocheat na migubegube inavyoiba waume wa wenzao,muache tabia zenu mbaya,sasa sijui munalia nini hapo,komeni kuiba kutendwa bongo si utulie aje wako kutwa kuparamia wasio wako ndo mana

    ReplyDelete
  5. BIBI YANGU ALINIUSIA GO EAST , GO WEST , TOA MBELE , TOA NYUMA, NYONYA KONI , NYONYA NA VINGINE HAKUNA MWANAUME WA PEKEYAKO FULL STOP

    ReplyDelete
  6. Yani siku namfumaniza msukuma ataniambia tofauti ya 11000 na 10001 kwa maneno

    ReplyDelete
  7. Hapo anawashauri kwamba piga goti kwa mungu, upate mume wa Kweli. Mnaanza ungekuwa bongo ungesaga meno huyo Mumeo kwa mabinti, kwani nje ya nchi hakuna mabinti, tatizo ni kwamba wanawake WA kibongo kutaka life la halaka, ndio linawafanya Mcheat.

    ReplyDelete
  8. WE ANONY KWELI NAKUHURUMIA !! MUME WA MAMA2 HANA ENOUGH MONEY YA KWENDA NJE, APO UMECHEMKA LABDA HUMJUI PESA INASEMA PALE BALAA. NAMJUA TANGU ANAISHI BONGO.

    ReplyDelete
  9. ndio maana tunasema nawake anaweza akawa anafanya hivyohivyo hata huko...ila angekuwa bongo ingekuwa balaa..kifupi tunamwambia dnt judge other peoples lifes....ungetoa km story tu bila kusema umewasikiliza kwanza watu fulan comments zingekuwa kivingine...ila kaacha yake..sikio kategesha kwny upande wa wapendanao....shoga unalo

    ReplyDelete
  10. Kila mwanamke katoka kwenye ubavu wa mwanaume,Mungu wetu anajua waume zetu kabla hata hatujatoka tumboni mwa mama zetu,tatizo hatusugui goti,tunataka wenye xtrail kumbe wako umeandikiwa uanze nae akiwa na tz 11(mtembea kwa miguu) ndo mpande had kwenye xtrail na hammer juu,mume akiwa wako kutoka kwa Mungu sidhani kama atacheat...tusali sana waje wale tulioandikiwa,naamin wangu kapotea njia mana bado hajafika na alivyo mbish wa kuulizia direction atachelewa lakin atafika tu loool!

    ReplyDelete
  11. Mwanamke umbea kusutwa suna,mama wawili hata hakuacha yake maskio hayana pamba jamani kwani ye ndo aliwaambia waongee kwanguvu?mume wa mtu sumuuu

    ReplyDelete