Pages

Ads 468x60px

Monday, February 4, 2013

GET TO KNOW MAMA WAWILI

 THIS IS ME AND I WILL ALWAYS BE ME!!!!!!!  SIIGIZI SIFANYI KWA SABABU WEWE WATAKA NIWE NA USINILAZIMISHE........ NILIKUWA SINAMPANGO WAKUTUMA HII POST BUT FOR SOME REASONS  NGOJA TUZUNGUMZE......... JAMANI HIZI KANYAGIO ZANGU ( VIATU) VIMELETA HABARI MUJINI..........HIZI KANYAGIO NI ZANGU NANINAJUA CHINI ZIMELIKA VIBAYA......... YAANI HATA NIKIKANYA TILES ZANGU MIMI MWENYEWE ROHO INANIUMA NAONA KAMA NATOBOA  HATA WANANGU WANAJUA MAMA ANATOKA MAANA NI KWA! KWA! KWA MWANZO MWISHO......... LAKINI  SASA NAVIPENDAJEEEEEE??????  JUZI KATI NILIKUWA NATOA KANYAGIO AMBAZO SITEGEMEI KUZIVAA AKIRI YANGU HAIKUNIRUHUSU KABISA KUVIRUHUSU HIVI VIENDE........ MIMI KWANGU SWALA LAKURUDIA SIJUI KIMECHAKAA NIKIKIPENDA UTANISAMEE TU COZ NAFANYA ILE ROHO YANGU INAPENDA NA SI VILE WEWE UNAPENDA.............. TEGEMEA SANA KUNIONA NAVYO HUMU NDANI KM UNA ALLERGY USIINGIE 

MUKE HALALI YA SLAY
MAMA WAWILI

NAWAPENDA WOOOTE KUPITIA NYINYI NAJITAMBUA 

11 comments:

  1. Hahahahahahahahahahahaha eti kanyagio nimecheka hadi nimejimwagia chai, hao wamezoea kusutana kwenye ma blog yao MADONA mwenyew alirudia suti yake nyeupe kwenye events kubwa huko hollywood

    ReplyDelete
  2. Mbona una panic??? Chilax

    ReplyDelete
  3. Hivi kumbe wachawi had kwenye blog wapo?et ana panic unaelezwa ukwel unaacha kufanya yanayokuhusu unaishia kuchunguza watu inahuuu?umezoea vya kuazima vya kumilik mwenyewe huviweziiii,utakufa mdomo waz kwa umbea

    ReplyDelete
  4. Mama wawili baelezee bwana wamezidi hivi ndo kusema wao huwa wanavaa viatu/nguo mara moja tu hawarudii? Hovyooooo

    Hebu jivalie mwaya wala hawajakusaidia kununua wakalumbane huko huko walikozoea watupishe humu alaaaa!!!
    Love you always mama wawili.

    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete
  5. Mbona wote mna panic???? Take a chill pill women.!!!!! Kwani baya aliloambiwa ni lipi? Kuwa viatu vimeisha? Kwani uongo?? Ku Rerock sio kosa na wala kuvaa kiatu kilichoisha sio kosa pia bali tunajaribu kumkosoa kuwa kiatu alichovaa hapana kipumzishwe sasa. Now what is wrong with that? Naipenda hii blog na nitaitembelea kila siku.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nani aliyepanic? Wew ndie umepanic mpaka hujielew unachoandika.povu linakutoka km unataka kukata roho ulivyokuwa unacomment usije tufia bure embu anza mwaka taratibu nenda kwenye mablog yenu mliyozoena kusutana

      Delete
  6. Tupishe kule unajichanganya mwenyewe eti kuvaa kiatu kilichochanika sio kosa sasa unamkosoa wa nini km sio kosa?eti unaipenda blog hata tumeona mpaka umekuwa msaliti.mfyuuuuuuuu

    ReplyDelete
  7. Asiyeelewa maana haambiwi maana.!Nilikuwa nachangamsha genge tu. Love u mama wawili and Be you members.

    ReplyDelete
  8. sijawahi changia huku ila leo imebidi cause nimemuelewa anon kama viatu vimeisha asiambiwe si opinion ya mtu anaweza take it or leave it. alianzisha blog ili aangalie yeye na watu wanaomjua tu au ni kwa ajili ya watu wote? ni vyema mama wawili ukajifunza kupokea opinion ya mtu uangalie kama ni nzuri pick it kama ni mbaya acha , lakini kama binadamu kila mtu ana maoni na mtizamo wake ndo maana tumeumbwa hvyo ssa sijui kwa nni huwa hupendi kukosolewa and no body is perfect hat wee as well! na hao wanaotake side sijawaelewa pia au maana ya be you hamjui including aliyeanzisha hii blog let people be them as well, every opinion counts. ni hayo tu no hard feeling i thought this was important to say katika kujengana control ur emotion instead of letting it control u. god bless u all.

    ReplyDelete
  9. Kama blog ni be you na unajua mana yake we anony povu linakutoka la nini sasa.... let mama wawili be her hata akivaa viatu vimetoboka its her....funga domo lako au kojoa ukalale.

    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete
  10. Let her be...hizo opinion zenu laleni nazo,unapomwambia apumzshe viatu vyake avae ndala?kwel fitina hana sababu

    ReplyDelete