Pages

Ads 468x60px

Monday, February 4, 2013

NAWAMISIJEEEEE


mama wawili naishi maisha yakubangaiza na internet duuu!!!!nakasirikajeeee..........  yaani picha moja na upload for 2hrs na usheee kwa kweli tuvumiliane  tutapiga story tuuu humu ndani mpaka kieleweke ...........natumia pre paid  kwa sasa imenishinda kabisa........  ile ya kwanza nimebadilisha ilikuwa inasumbua kidogo, nimeambiwa ndani ya siku kumi  ntaletewa......otherwise nawamithijeeeee????

kama kuna lawama na miwani jamani alaumiwe Baba wawili 
maaana Khaa!!! 

8 comments:

  1. Mbona umependeza tu wangu!!? halafu hiyo style ya nywele imekupenda.

    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete
  2. shoga viatu hivyo basi vionee huruma kha! hadi vinaota sugu

    ReplyDelete
  3. the shoes jamani khaaa!! Vipumzishe

    ReplyDelete
  4. Embu tupishe kule usituchafulie hali ya hewa humu,hukuona video aliyokuwa anaonesha viatu vyake?wivu tu umekujaa na bado mama wawili ataendelea kuwapa home work za kutosha

    ReplyDelete
  5. Hahahahahahahahahahahaha embu njoo unichomelee geti langu mama wawili

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahahaaa muke ya musukuma ngoja nimemwambie baba wawili amesahau kuninunulia vifaa vyakuchomolea mana kazi ushanipa ........ Ngoja tuwasubiri nawengine by the time vifaa vimepatikana tenda itakuwa kubwaaaaaaa

      Delete
  6. the shoes bana..ki roho safi tu.!

    ReplyDelete
  7. We mwanamke usietaka kujitaja una nini?umezoea blog zenu za kiswahl sio huku,we mbona nguo yako kauka nikuvae watu hatusemi?au unajifanya beyonce?ovyo em tutolee ushahl wako kwani umeitwa humu ndani?ntakusuta na matarumbeta mwanamke mzma unaishia majungu tu na utakufa na umasikin kwa kuwa na roho mbaya kama mkanga sumu,tokaaaaaa

    ReplyDelete