Pages

Ads 468x60px

Friday, February 15, 2013

MAMBO YA MALOVE LOVE

Ukipenda bwana lazima utakuwa nachakufanya hahahaaa......... kiukweli hii siku tulisahau kabisa hasa ukichukulia tulikuwa tumetoka kujificha........ a night before  someone reminded us  ukizingatia siku yenyewe ni one of the weekdays pesa lazima ikatafute wenye mabox tukabebe na wamgodini lazima akalipue.lakini ukipenda bwana hukosi chakufanya hata km ukipewa dakika moja to prove your love utaitumia ipasavyo habari ndo hiyo..........pata idea

mama wawili
ndani ya red carpet
niliwaza eeh!!!

 kwa habari hii lazima upelekwe dinner  eti eeh!!!

mwenye macho haambiwi ona......
nilifanyiwa booking ya dinner fastaaaa nimefika tuu mezani nakuta na hii hilo jina la Slay sasa walivyoniaribia halafu na wewe unayeniitie mume wangu ASLAY wewe ushindwe na ulegeee
vijana wa kazi
with my girlfriend yaliyoendelea yakwetu mdau hayakuhusu hahahaaaaa
love you mingi mingi

7 comments:

  1. Hahahahahahahahahahahaha eti red kapeti unamaneno weye, mi siku ilipita km siijui msukuma yupoje busy na kubeba mabox

    ReplyDelete
  2. Safiiiiiiiiiiiiiiiiii

    Verostima

    ReplyDelete
  3. na ungekuwa mzuri sijuhi tungefanyaje

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mimi ni mpitaji wa kimya kimya humu ndani huwanachukuwa kinachonifaa kisichonifaa nakiacha humu ndani since nakusoma we anon hapo juu naona kunaroho inakusumbua ambayo inakufanya hata maisha yako Yasiwe vile unavyotaka wivu mbaya we jichunguze mwenyewe.mwache mama wawili usije ukamkwaza akapiga goti kwa sababu yako ukajuta maisha.

      Delete
  4. Maumivu yakizid muone daktari. Weka picha yako na sisi tukuone km unalipa mmmxxxxiiiiiiuuuuu

    ReplyDelete
  5. Jamani wivu ni mbaya sana ni kama gonjwa lisilofichika....hivi kweli unapataje courage ya kumsema mwenzio mbya? Mama wawili anaubaya gani mwenzetu uliouona? Mungu akusamehe jamani kama mtu humpendi acha kuingia humu.


    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete
  6. Aweke pcha yake tuiumie kutishia watoto wanaogoma kunywa uji....mama wa2 mwanamke ubunifu well done japo me cku ilinpita kavu hata habari ckupata

    ReplyDelete