Pages

Ads 468x60px

Wednesday, October 10, 2012


Jamani eeeeh, tuelewane  humu ndani...... nimeachilia moja ya comment kati ya zile mlizonihukumu, mnajijua wenyewe niliowapotezea hasa kwenye post ya mwisho NIMETOKELEZEA....... maana maneno yalivyowatoka km mmewekewa moto mdomoni..........ninachotaka kusema ni hivi

 maisha yakuigiza mimi siyawezi hata siku moja. sio kwa sababu napost mambo ya Mungu basi kila ninachopost humu  niwenajistukia eti kwa sababu fulani anajua mimi mlokole kwa hiyo nimridhishe NO NO NO! na pia nikifanya hivi ntatoa maana halisi iliyonifanya nianzishe hii blog. Katika maisha yangu sipendi mtu anaevaa ngozi ya kondoo kumbe ndani mbwa mwitu.........BE REAL..........BE YOU....... unaponihukumu juu ya jambo fulani please naomba unipe na andiko (BIBBLE) nikajisomee mwenyewe, huku ukiniombea ninapolisoma nipate ufaham wakiroho nisisome km gazeti, hii ni kwa wale wapendwa........na wakina nyie na maneno yenu ya uchochoroni mnadai mnataka kujifunza kutoka kwangu plz chukua lile nzuri.......baya langu niachie humu ndani roho wa Mungu atalishughulikia kwa wakati wake.............kinachonishangaza ni kwamba, unanihukumu lakini hiyo lugha unayotumia uuuuwiiiiiiiiiii!!!! kweli Mungu atuhurumie yaani comment zingine hata huwa sizimalizi ni DELETE tu maana unaweza kumaliza kusoma hilo pepo lamatusi likahamia kwako........am not here to please anyone................

8 comments:

  1. Siku mojamoja uwe unaachia hizo comments na sisi tusome maana raha ya blog ni pamoja na comments za wadau. Other wise nice blog keep it up... ...

    ReplyDelete
  2. Wewe ndo uwe real, 2nashndwa kukuelewa Mungu hathiakiwi kama umeamua kum2mikia then focus kwake kwel na uache kiraruraru...ukwel unauma cku zote

    ReplyDelete
  3. Wewe nawe una ngebe iliyopitiliza maneno maneno tu kama mzaramo sasa wokovu wako upo wapi? Utafikiria hapa ni uwanja wa kuwakomesha wanaokukosoa hebu badilika bibie.

    ReplyDelete
  4. unatuchoshaje sasa na hizo rap zako za manzese! unapenda kusifiwa tu ukielezwa ukweli shida!! Hiyo ndo raha ya kufungua blog kubali yote

    ReplyDelete
  5. wasamehe bure hakuna mkamilifu..love u girl

    ReplyDelete
  6. ni changamoto za kublog, sana sana, angalia unapohitaji kurekebisha na kuboresha, ni vizuri pia comment za wadau ukiziachia ili tuweze kupata maoni anuwai,

    ni kazi sana kublog, lakini pia ili blog ipate umaarufu usibanie comment ( ofcourse bania zile ambazo ni matusi na kumdhihaki Mungu )

    mengine yote achia tu maana hata kama amelalamika ila ameongea kilichomgusa....

    salams to wawili na daddy akee wa2

    ReplyDelete
  7. Kweli kabisa mama wawili achia comments za wadau bt za matusi kwa kweli usiziachie raha ya blog comments ziwepo hata km wanaponda. Ni hayo tu

    ReplyDelete
  8. Blog ni nzuri bt imepooza kwa ajili ya kukosa comments za wadau achia comments mama ili iwe maarufu bt za matusi big NO usiruhusu

    ReplyDelete