Pages

Ads 468x60px

Sunday, October 21, 2012

GET A LOOK FROM MAMA WAWILI


Haya watu wangu week ndo hiyoooo tunaianza............. i hope you all had a fantastic one..... km haikuwa nzuri usijari wangu, majaribu ni kawaida ya mwanadam lkn Mungu hawezi kukuacha...... ipo sababu kwa nini unapitia kaa mkao wakupokea  your miracle is just around the corner. hatukomai km hatutikiswi, lazima tupikwe na tuive haswaaaa.........otherwise mine was awesome namshukuru Mungu aliyeiwezesha ikawa........ here  was my sunday look

Mama mwenye nyumba
Mama wawili

Muke halali wa Slay
sina tatizo na mutu am enjoying my life.........


i love me.....

mimi mwenyewe



hapa nilipo ni kwa neema tuuuu
 I love you my peeeeps......

4 comments:

  1. pendeza muke yakeeee!G

    ReplyDelete
  2. PENDEZA SANA, UKO JUU MUMIE.. TUSAIDIE NA WENZIO KIMAWAZO KUFIKA HAPO ULIPO. Mimi nimekuwa napita kwa blog yako kila siku,
    nahitaji ushauri wako / WADAU WA BLOG wa kijasiriamali...
    Nataka nifanye biashara ya nguo za watoto na kina dada tu toka nje ya nchi..
    Natafuta mtu mkweli na mwaminifu wa kunipa maelekezo na misaada ya jinsi ya kufanya nikifika huko kwa watu hasa China / Hongkong,
    na je natakiwa kuwa na mtaji wa sh. ngapi? Maana bado mgeni kwenye biashara. Please help me my dia dada.

    Mdau

    ReplyDelete
  3. Mdau sorry sijui km ntaweza kukusaidia kwa hili sijawahi kusafiri kibiashara nje ya nchi frm tanzania...Biashara yangu haikuwa kubwa hivyo nilikuwa nanunua mzigo kwa marafiki waliokuwa wanasafiri ndio na weka dukani hiyo nimiaka minne iliyopita kabla sijaja huku. ningeweza kukuunganisha nao lkn dunia ya leo haina uaminifu my dear......ukishindwa kabisa e mail ntakuunganisha kwa mtu akupe muelekeo but km nilivyokwambia naogopa kuwa involved sana....

    ReplyDelete
  4. Upo juu mama wawili, hiyo swimming pool mie hoi wakina wawili wakijifunza kuswim watakuwa km fish mda wote kwenye maji.

    MUKE YA MUSUKUMA

    ReplyDelete