Pages

Ads 468x60px

Wednesday, October 3, 2012

BIG UP DR CASTA TUNGARAZA


 Balozi wa Utalii wa Tanzania  Australia Dr Casta Tungaraza.
 amekuwa Tanzania akiwa na watalii “wenye majina”toka Australia pamoja na kikundi cha wapiga picha wa SBS ili kutimiza mkakati wa kuitangaza Tanzania hapa Australia katika nyanja za utalii.

Wakati huo huo mipango ya wapiga picha wa Australia kupiga picha za biashara (feature films) imeshamiri.
Katika picha hapa chini anaoneka Casta na Mpiga picha Steven Van Mills wakiwa na Rais Kikwete wakati walipomtembelea Ikulu kumjulisha juu ya mpango huo wakupiga picha ya $7million+ inayoitwa “Black Honeymoon” huko Tanzania pindi mwakani
Stevene Van Mill,Casta  na Jk
Twende kazi mama safari ndo kwanza............

No comments:

Post a Comment