Pages

Ads 468x60px

Wednesday, December 19, 2012

WHAT A NEIGHBOURHOOD?????

Pamoja na kwamba tunajuana tu kupitia vioo vya magari,na wengine hata hatujawahi kuonana....bado baadhi ya watu wameona kuna haja km suburb tukutane  na tufurahi pamoja kwenye park yetu ya mtaa......... nilipokea hii invite kwenye mail ilinifariji sana aisee..... they got me in tears,Jamani mimi napenda kuzungukwa na watu ambao mnaweza kubebana in eitherway ok ishi kivyako lakini uwe na amani huku ukijua umezungukwa na watu sio maadui...... watu ambao unajua chochote kikitokea they will be there for you.....ni kazi sana kuwapata aiseee kwa mda wa miaka mitatu tangu niwe huku sikuwahi pata jirani km hawa.... thanks God huko kote nilikuwa kwenye nyumba za kupanga....inatupa woga kumwamini mtu hasa kwa sisi tulio ugenini......Namshukuru sana Mungu hapa aliponiweka guys kwa kweli upo ndani ya gari lkn utaona mtu ana smile au anakupungia mkono tu kuashilia ni jirani yako........halafu sio wale wa njaa aise ni watu wanalife hii suburb ya watu wenye mafungu yao bwana (mgodi unaotembea)  hahahahaaa!!! nimejifagilia eti kwa hiyo na mimi nimo?? Oh yes! ni kwa neema tu najikongoja na ahimidiwa Mungu anayeliangalia neno lake nakulitimiza..........sifa na utukufu ni kwake......
mama na wawili wake
lets go girls

Angel Careen

tumefika
walianzia kwa Santa...
Neighbours
shughuli na wao
cute
watoto walienjoy kwa kweli
michezo ilkuwa yakutosha

familia za kibongo ndo hizi mbili hapa kwenye hii suburb....... nampendaje????  my sister in Christ, good neighbour, huwezi amini we got our house keys in the same day, imenichukua muda sana kupata jirani wa hivi.......

with Kensani  binti wa Vina hapo juu......
with Shantel
watu wanajua kusherekea Christmass bwana hebu angalieni nyumba zilivyopambwa mataa....


Hahahaaa!!! jamani mwenzenu siku hizi hizi sherehe zao wakinialika najuaga naenda kukutana na biscutte,cheese na vitu km hivyo wenzetu wanashiba.....sasa mimi na baba wawili wangu  we love our food bwana.. hahahaaaa! nikishaalikwa huwa nahakikisha nimeacha nyama yangu jikoni tukirudi tuu ugali wa haraka na kachumbari yetu wee  utatutamanije?????

habari ndo hiyo
kama mdau msoma,chiwinne, uk,muke wa msukuma, wa mchaga na wengineo mngekuwepo hahahahaaa maana hii ngoma ni mimi na Baba wawili tuuuuu......mbuzi choma...

5 comments:

  1. Hahahahahahahahahahahaha kweli nyie viwavi jeshi hapo bado ugali tena.
    MUKE YA MUSUKUMA

    ReplyDelete
  2. Ni kujilambaje apo xaxa,me naja na pilpil yng kabxa...chiwinnie

    ReplyDelete
  3. Uuuuwiiii mama wawili ningekuwa hapo ningekulaje hiyo nyama na kachumbari sasa ahahahaaaaa... no ugali!! kwii kwii kwii wakurya wamenifundisha kupenda nyama hatariii.

    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete
  4. Miss u,mudada mref nipo bush

    ReplyDelete