Pages

Ads 468x60px

Thursday, December 27, 2012

ACHA NIWE MSHAMBA TUUU.........

hivi kweli nyumba yangu nizungushe umeme hivi weee sidhani km ntakuwa na amani kwanza sitalala............... mbona ntakuwa naona nyumba yangu inalipuka mda wowote, hahahaaaa!!! mambo mengine acha yanipite.......kwanza hiyo budget yake mama wawili nshawaza mifuko ya cement bongo kwi kwi kwi!


1 comments:

  1. Mmh bnadam hatuishiw vituko,ucku anaugeuza mchana wa jua kal mana hamna kuzma taa hapo...

    ReplyDelete