Pages

Ads 468x60px

Wednesday, December 26, 2012

CHRISTMAS EVE

We took the kids to see the Christmas lights in the Limo.............
Tulianzia hapa
@ Mjema's House
the team
tuliwapa vizawadi vyao ndani ya limo
my girl Jane
hivi jamani si bora niwe najisukia mwenyewe hebu angalieni hair look ya wawili...... mikono ya mama wawili hiyo huwa sijiamini tuu
ni kushangaa tuu
happy people




i will consider this next yr.......na  labda ntakuwa kwenye  gorofa  km hili hahahahaaaa who knows????pray for me.
kweli pple's choice mweee hii nyumda kiboko tulimuuliza muda aliyotumia kupamba alituambia 120hrs.....
duuuuuuu!!!
nourma
cute bby wenzake tunashangaa mataa yeye anashangaa limo hapo chacha!
watoto walitaka kutugomea kuondoka
anavyojua kushangaa km mama yake

us
\wamiliki wa limo wakipata picha na wadau wao

3 comments:

  1. Mmmmh! mlitisha mama yao

    ReplyDelete
  2. Aahahahaha mama wawili umenichekesha sana eti "anavyojua kushangaa kama mamake" Lols

    Umeasuka vizuri sana I wish na mie ningeweza kumtengeneza hivo mwanangu kila siku nampeleka salon mweeh. They look so good

    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete
  3. Me mwnywe nimebaki nashangaa hayo mataa,mmh vitu vingine ni vipaji 120 hrs kupamba tuu??

    ReplyDelete