Pages

Ads 468x60px

Tuesday, December 18, 2012

BABA NA WANAE TIME


Baba akiwa home wanamtumiaje..........
Slay & Cristabell

Oh! Yes
Wawili

wenyewe wangesema my bby kwa umbaali mnamuona???? kwi! kwi! kwi! mshindwe na mlegee huwezi ukafananisha mtoto na Gari hata siku moja!!!! Thamani ya mtoto huwezi fananisha ki hivyo aiseee......Uweza na mamlaka iliyotumika kuumbwa mtoto si yakibinadamu hata kidogo........Gari hata mimi naweza kutengeneza nini kwani si shule tu hapo.........nyieeeee we haya!!
girls
the smile tells you all
tuwaulize wenyewe hapo ilikuwaje mi napost tuuu...



Aisee ila kwa kweli am Jelous..... my girls when their dady is not around hawaishi kunikiss nakuniuliza maswali maswali kibao ila sasa akiwepo hawatambui kabisa uwepo wangu mwee  i sometime feel so bad hahahahaaaa!!!
huwa siamini msemo watoto  wa kike ni wababa but my girls are trying to prove mama wawili wrong...... kwi kwi kwii!!
nafikiri natakiwa na mimi kuact kitoto toto nikiwa nao km Baba wawili eti wadau......
Bwana eeeh ngoja nijitie Moyo  wanammiss baba coz most of the time hawapo nae..... kwi kwi kwi
happy Careen.....

6 comments:

  1. Jamani how cutie is your girls!!! vimependeza sana na hivo vipedo vyao...!! natamani na wangu afikie age hiyo mweeee ahahahaha.

    Naomba kuuliza wanao umewatia nywele dawa? Mi mwanangu ana 2.3yrs natamani kumuweka dawa nywele ziwe laini kumanage, is it possible?

    Madau wa Musoma

    ReplyDelete
    Replies
    1. No wanangu Hawaweki dawa sishauri mtoto kuanza kumuwekea machemical wakiwa na umri huu

      Delete
  2. Una raha sana na family yako wanaume wengine ni wakali sana kwa watoto hata mke pia.baba akisafiri watoto wanafurahai na kusheherekea yani ikirudi kazin watoto wanajifungia chumban kwa kumuogopa.

    MUKE YA MUSUKUMA

    ReplyDelete
  3. We jirani wewe hongera kwa familia nzuri. Wasilibe hadi wajute kukufahamu hahahahaaaaa

    muke ya muchaga

    ReplyDelete
  4. nice daddy anacheza na totoz.tuonyeshe kuwa hata black men do care.thanks alot

    ReplyDelete
  5. Hap dad dautaz day...chiwinnie

    ReplyDelete