Haya wandugu mwenzenu ndo nshaitwa mama wa binti wa miaka saba!!! Jina la Bwana libarikiwe............... weekend tuliona ngoja tumfanyie ka family pre birthday kabla ya birthday party yake coming weekend. haikuwa special sana lengo ni kwenda kujificha anapenda sana maficho aisee km Mama yake ila sio kila maficho ha!ha!ha! kana taste za hatariiiiiii............ha!ha!ha! tulikapatia ila mwisho kalilamika why we didnt let her use most of the hotel facilities.... muda haukutosha alitakiwa leo aingie darasana.
onjeni machache yaliyojili......
kamekuwa jamani mweeee......
humu ndani ndo ilikuwa home picha niliyopigia hapo haikutenda haki tochi ilihusika so nimeamua kuiba kwenye website yao kuileta ha!ha!ha!ha!
nani yule kule spotted????
na hawa unawafahamu kawatag basi ha!ha!ha!
roho zake Mama wawili
spotted watching TV in a room
my fav spot in the room, Amazing view..........
haya nimewatangazia na biashara sijui watanilipa??? kawatag basi ha!ha!ha!
twenzetuni kitaa wanangu, sameheni hizo kauka nikuvae jamani zimevamiwa ha!ha!ha!
she got her wheels............ to be revealed on her birthday party ha!ha!ha! natafuta masponsor kwanza.
Tunawapenda
oh wow! That room looks amazing! Looks like you had fun!
ReplyDeletehttp://anicheberry.blogspot.co.za/
happy birthday totoo
ReplyDeleteNiiice and beautiful!! Mungu azidi kumlinda mwanao!!
ReplyDeleteHappy Birthday to her Mungu amlinde ampe afya njema na maisha marefu! Hongera mamy umekuza
ReplyDelete