Pages

Ads 468x60px

Monday, December 10, 2012

A WHAAAAAAT??????

Wana BEYOU piga makofi pls kwa Baba wawili, pa!pa!pa  Ahsante, Pa!pa!pa Baba wawili, pa!pa!pa kwa kutuwezesha pa!pa!pa!........ what a suprise??????? hahaaaaaa!! HONEY YOUR THE BEST IN THE WORLD................ kiukweli, i know how is our account look like aisee tumebanana mbaya......kiasi kwamba hata sikuwa nategemea christmass present kutoka kwa Baba wawili zaidi ya kumshauri what i would like to buy for my kids, just  incase we want to do something for them  kwa kabajeti tulionayo najaribu kufikiria tu mambo mangapi amesacrifice for his wife sipati jibu...................this amount is so dear kwa sasa kwenye budget yetu.......i cant believe hajataka kuwaza juu ya mambo yote zaidi ya mkewe  na watoto!!!  WE ARE SO BLESSED TO HAVE YOU DARLING.....YOU ALWAYS THERE FOR US......sasa basi just after kupost the winner is........... Baba watoto anaingia na box hilo!!! honey your present for christmass (in Slay's voice) i was like a what???? anyway nikafikiri nakutana na perfume au mafuta na vitu km hivyo............hapo chacha


wawili wangu wanataka kuanza kulia wakidhani mama yao analia......


simu leo imenifaa  hata kukimbilia camera sikumbuki
vingine nilivyokutana navyo humu hata sivijui kitaeleweka tuu mbele kwa mbele


zoooooommmmm!!karisiti hakasomeki eeeh  ok $ 1782 fanya mara 1603.7646321 upate tshs..... change ya leo nimetuma pesa bongo,hahahahaaaaaaa haya sasa mashauzi ya wenyewe eti wadau... kwi kwi kwi mnisamehe bureeeee am over excited mwee!!!!!!which is not gudo @ ol..... Mungu wetu hapendi tunatakiwa tuwe na kiasi ili tusimpe shetani nafasi.......

STAY TUNE FOR MY WAWILI'S CHRISTMASS PRESENT........

5 comments:

  1. Kwi kwii kwii mama wawili we ni mtundu sana eti piga makofi kwa baba wawilii....haya bwana kwa kweli unastahili kumshukuru kwa suprise kubwa kama hiyo, HONGERA MWAYA!

    Mi mwenyewe umenisuprise sana kuwa mshindi yeeeeeey I AM SUPER HAPPY ahahahahahahaa... lols

    Sasa I hope tutakuwa na picha za kiwango.


    Mdau wako Wa Musoma TZ.

    ReplyDelete
  2. WA WA WA HONGERA SANA MAMY...MUNGU AKUBARIKI NA FAMIYA YAKO

    ReplyDelete
  3. Angalia wakina wakina wawili wasije ivunja.

    MUKE YA MUSUKUMA

    ReplyDelete
  4. Angalia wakina wakina wawili wasije ivunja.

    MUKE YA MUSUKUMA

    ReplyDelete
  5. Pa! Pa! Pa!...chiwinnie

    ReplyDelete