Pages

Ads 468x60px

Sunday, December 2, 2012

CONGRAT'S MY CAREEN

Dady,Mumy& Cristabell are so proud of you.......... hahahaaaa naanza kufile certificates za Careen sasa kweli nimekuza ....... yaani  na furahi cheti chake cha kwanza kimeanzia Kanisani aaawwwww!!!!   haijalishi cheti cha nini????? hapo chacha my bby is a singer....wapi wakina upendo kilahilo,christine shusho, Florah,rose muhando???? kipaji hicho...... 
mwanzo mnzuri my bby 
Hapo chacha my bby where is your attention???? Neema ya Bwana na uweza upitao akili zote ukufunike na kukusaidia ......next yr ur starting kindy mamii i bego ur attention lyte!!! 
my angel 


 my smile
she cant stop telling "mumy this is my suprise from Lisa for my birthday" ( in careen's voice) hahahaaa!!!poor Careen

2 comments:

  1. Wow am happy to see baby Careen, nakapendaje?
    Mungu amlinde jamani aje kuwa muimbaji mkubwa!

    Mdau wa Musoma TZ

    ReplyDelete
  2. Mungu amjalie,amlinde na kumfikisha juu awe kuwa kat ya waimbaj wa3 bora tz na ulimwengun..mvua za baraka zmnyeshee na awe kchwa kama alivyohaidiwa...goodluck beb careen....chiwinnie

    ReplyDelete