Pages

Ads 468x60px

Wednesday, December 5, 2012

DEADLINE.............

Haya wadau wangu  ule muda wetu wakutuma email kesho naomba uwe mwisho!!! so far  nina watu kumi ambao nimewapitisha wamezungumzia same things na vyote kwangu ni majibu......huu mtihani aisee!!!!! sijui nifanyaje ningekuwa na uwezo nyie wote ningezirusha mpaka mshangae hahahahaaa!!  namawazo sijui  nizipost tupige kula au????

Kwa kweli kitu ninachomshukuru Mungu lengo la kuanzisha hii blog kweli limefika kwa walengo.....ilinipa wakati mgumu sana na hata sikuweza kujibu baadhi yamaswali ya wadau ambao mlikuwa mnataka nijieleze kidogo ili mnapoingia mnajua mtakutana na nini...........kuna wakati niliandika wee nikajistukia sikuachilia..... nilihisi naweza nikawa mzuri wamaelezo au polojo  nyingi halafu wadau mkashindwa kunielewa kati ya lengo na kile ninachopost.......... sikupenda niwe muigizaji bali mtendaji halisi (BE YOU)....libarikiwe jina la Bwana yeye alieniwezesha na kufanikiwa hili.......
kuna mengi tutaongea baada ya hili zoezi kuisha .........
check out my sunday look
mama yao
oooh! yeah
muke yake
mwe ila kununa ndo najua heee!!

love you my people


2 comments:

  1. Haya twasubiri mshindi tumuone.
    Mana mi wala sikushiriki.
    MUKE YA MUSUKUMA

    ReplyDelete
  2. Mama wa2 me hyo ya muke wake nime like like,by the way nimependa hayo mazngra so natural...chiwinnie

    ReplyDelete