Pages

Ads 468x60px

Monday, December 10, 2012

THE WINNER IS.............


Duu kwa kweli km ningechagua mwenyewe nisingeweza.......mmmh mdau wa musoma hivi umeanzisha kampeni baridi nini????? asilimia 70%  ya kula imedondokea kwako.......wengi wape.Hongera my dear ni email details zako tumalizane..........

3. Dear Rose -Muke Halali ya Slay,

Ahahaha huwa napenda sana hilo neno nikiona umeliandika.

Kwanza kabisa huwa haipiti siku bila mimi kuchungulia humu bloguni kwa sababu wewe unaniinspire sana hasa nikiona watoto wako wawili wazuri na wenye afya. Napenda sana jinsi unavyoishi na jinsi unavyomjua mungu wako huna mashauzi na its real you mana upo kama wewe.

Katika blogu hii ninajifunza mambo mengi hasa tabia yako ya kutopenda makuu, hupendi kujibizana na watu hasa haters badala yake hata wakikuandikia comments za ajabu wewe huwajibu kwa upendo!! kitu hicho kimenivutia na kunifurahisha sana sana mana ungekuwa unajibu kwa hasira ungesababisha ugomvi na baadhi ya blogers wenye kupenda makuu.
Nimejifunza kumtegemea Mungu katika kila jambo na kuwa na ndoto ambazo ninaziwekea malengo ili zitimie siku moja. Huwezi amini dadangu nilipoona dream zako zinatimia nami uliniinspire sana na mimi nitakuja kushuhudia humu humu bloguni kwako aliyonitendea Mungu wetu! Nakupenda sana dada Rose.

Kitu ambacho sikipendi humu ni wewe kukaa muda bila kupost, napenda ujitahidi ku update blog kila siku mana mimi hupita humu kila siku.
Napenda sana uweke picha zako na za watoto wako mana nina wapenda sana na ninatamani na mimi one day nipate watoto wawili wa kike kama wewe ahahahaa.
Mwisho blogu yako niliifahamu kupitia blog ya Jestina George pale kwenye blog list yake kulikuwa na blog yako kailist ndo niliingia kwako kupitia kule so tangu siku hizo sijaacha kuingia humu.

Ni mimi Mdau wako wa Musoma Tanzania

1 comments:

  1. OOOOOOOOh my God I dont believe kama nimeshinda!!!!!!! AHSANTE YESU, AHSANTE DADANGU ROSE NAKUPENDA SANA SANA, AHSANTE KWA RAFIKI ZANGU WALIONIPIGIA KURA.

    AHSANTE MPENZI MUNGU AKUWEKE NA AKUZIDISHIE...SIJAAMINI AISEE KESHO NITAKUTUMIA DETAILS ZANGU THROUGH MY EMAIL.

    From Madau wa Musoma TZ

    ReplyDelete