Pages

Ads 468x60px

Tuesday, December 16, 2014

PANDE NYINGINE YA MAMA WAWILI...........................



Siku kama hizi unaingia zako mzigoni ukijua unaenda kupiga mdogo mdogo   baada ya weekend yenye mashughuli kibao nakujisahaulisha jumatatu itakuwaje duu!!!maana hata sikutaka kujua booking zimekaajee.........

 Duu ile kufika tuu  unaishia kutabasamu maana kulia huwezi maana ni baraka ila mwili ndo umegoma mbaya zaidi ndani ya masaa 6 wateja wanataka magari yao......... 

Duu!!! unafanyaje sasa zaidi yakuingia mzigoni ????



haya ndo nikaamua nakupiga mapicha kuanza kuandaa mwili ukabiliane na yafuatayo..........


nikajikuta naimba ujue guess wimbo gani??? (Zawadi gani mimiii,Nita ,Nitamtolea Bwana Ila, Ila moyo wangu tuux2 Pokeaa,Sifa..............
Check kono hilo weweeee lazima unipende ha!ha!ha!

1 comments: