Pages

Ads 468x60px

Monday, December 29, 2014

LA FAMILIA....................

 Haya wapendwa wangu bila shaka sikuu zilienda poua eti eeeh!!! huku kwangu for the last two weeks ni full kusherekea , yaani maliko kibao mpaka mingine unaitafutia sababu ya kutokwenda..........  Kiukweli tunamshukuru Mungu mno tuko kwenye nchi za watu lakini duu!!! sometimes tunasahau kabisa kama tuko ugenini... Mungu anatumia watu aisee!!! Ila sema ndo hivyo ile harufu la pilau la uswahili huisikii ha!ha!ha! sometimes inabidi mimi ndo nijipikilishe nilipeleke ha!ha!ha! wanalipendaje sasa??? Anyway, kuanzia Boxing day mialiko yote kwishenea Ha!ha!ha!ha!  Tupo nyumbani michezo yooote imeisha.  kuna kajistory ntawapa nikitupia picha za boxing day ...... Tatizo Baba wawili kanivuruga hizi picha zilikuwa za episode 2 ye tayari kazivujisha facebook basi sasa nimeona tuanze mbele then turudi nyuma ha!ha!ha!ha!

 Sasa baada yamichezo watoto wanalilia camping kisa wamenunua hayo mabegi.... Tukaona isiwe shida ngoja tudrive somewhere ambapo watu huwa wanafanya camping tukaigize km masaa kadhaa waridhike turudi zetu



 hapo chacha ndo tushafika
 ufundi sasa unaanza

 waliangaikajesasa jinsi yakufunga hizo tent ha!ha!ha!

 Ngoja mama yanu niwasaidie

 duuu!!1 na mimi nachemka sasa


Bora tuteam up bwana  huku matukio yanachukuliwa bila kujielewa chezea Careen wewe.....



Hizi tabia za Mkeo anatoa maelezo we unampotezea ujue humtendei haki???? basi sasa endelea mwenyewe....

 Hatuja kaa  sawa hello mate (In Aus....) Do you need some help?? ee Bwana mi napenda  mzungu yule originaleee aisee ukikutana nae mbona kama uko home??? hana tofauti na yule mtazania wakijijini ukarimu jinsi mambo yao wanavyofanya aisee mbona utapenda!!!! achana na hawa wavamiaji kama sisi  aisee!!! nyodo kama yule mtanzania (kinasisi)  aliyetoka mashambani kaingia mjini  Darisalaaaama Duu!!! 

Mi nakwambia mpaka nilifikia niliona aibu wanangu wanavyofanya mambo yao ha!ha!ha! nimesema hawa nikija likizo tuu cha kwanza njombe au makete huko wiki nzima  yaani udaresala mwingiiiii!!!! ha!ha!ha!
l

eee bwana nikamkumbuka na marehemu Babu yangu mweee!!!! 


Wanangu sasa hili eneo ndo linanifanya kupeleka bush kwanza wanangu yaani hata kama huvijui unatakiwa kukataa kidizaini yaani mtoto kakunja sura yaani utafikiri kaona iny.....!!! halafu anatoa makavu kabisa!!! we ngoja udarisalama hapa kwangu marufuku wanahitaji mwaka mzima bush..... Ha!ha!ha!ha!

mchumba amekazana anawaonyesha manjonjo mara kwenye maji mara kuvua hao yabbies duuu!!!


Ule oroho wa maji kuomba nguo za kuogelea sikuusikia kabisa zaidi yakusikia Mumy how comes this water is very dirty(In Careen's Voice)
 Kidogo nimwambie Dad yako kajifunzia kwenye maji kama haya Ng'ombe anaogelea na yeye humo humo Ha!Ha!ha! uuuwiiiii!!! nyie msinisemeleee mwenzenu Ha!ha!ha!

Mama mtu wee naomba hiyo picha ipigwe haraka nimwachie huyo kiumbe  na huyo ndo wifi mtu hapo chacha!


 Tulienjoy kwa kweliiiiiiiiiiiiiiii......


 Mutu na Mubebe wake.............



Team.... Mume mtu yule kule nyuma yake........ Am sorry guys sio vizuri kumzungumzia but nimeona nimeguswa kutumia mfano hasa ukizingatia watu mko kwenye maproject Ha!ha1ha!
Ahsante Bwana Yesu yale makelele ya Camping sasa yamepungua ingawa wanasema wanasuburi yakulala huko huko  ......... Mum and dad make sure next time we go where there is no ants so we can sleep...... hi1hi!hi! mnamjua nani huyo eti eeeh!!!

Future Christina Shusho


Hapo chacha!!!



La Family

4 comments:

  1. u always inspire me...naamin 2015 yangu will also have committed man like yours dada. Bless you

    ReplyDelete
  2. Mama wawili endelea kubarikiwa naamini Maombi yanasaidia kuishi kwa amani na upendo sijachoka , na wala sitachoka na sitakataa tamaa, Mungu wetu ni wa upendo naamini ipo siku atatenda, muwe na holiday njema salimia familia.

    ReplyDelete
  3. Umenifurahisha kweli yaani camping na ka beautiful gauni...heheheheheh......

    ReplyDelete
  4. Camping camping camping. Daaaaaah hii niliikosa. Mungu ajaalie nikirudi any time cha kwanza camping na kujipikia misosi porini.

    ReplyDelete