Pages

Ads 468x60px

Sunday, September 23, 2012

HAPPY BIRTHDAY TO MY CAREEN

Ahsante Mungu  kwa ajiri ya neema hii ya siku ya leo.... ambayo uliifanya nakunifanya kuwa Mama wa Careen, mtoto aliyenipa furaha isiyo kifani, mtoto alieondoa wasiwasi wangu alipokuwa tumboni na kabla hajawa.........alinifanya nikose usingizi nikitafakari hivi kweli itakuwa???,naitakuwaje????Ahsante Mungu kwa maana ulinitetea kwa namna isiyo elezeka........ Hatuna cha kukulipa bwana zaidi ya kukuendelea kumkabidhi Careen Mikononi mwako, akakue nakuongezeka, hekima na busara ikaambatane nae,akapate kibari nyumbani na kwa mataifa,akafanyike kuwa kichwa siku zote na si mkia,magonjwa na laani yakawe mbari nae km kaskazini na kusini isivyoweza kukutana,Upendo na upole kiasi ukawe kioo cha maisha yake, ukatusaidi Wazazi kwa ajiri yakumuandaa vema katika malezi ili akawe km vile Bwana ulivyomkusudia awe......Zaidi ya yote hofu yako ikakae nae daima.... akatafute uso wako kila iitwayo leo....na wewe Bwana ukajitwalie utukufu kwa ajiri  yake.....AMEEEN
  

 

2ND BIRTHDAY
3RD BIRTHDAY

                                                                        


1 comments:

  1. Happy birthday Caren! Yakatimilike yote aliyoyaomba mamiyo ili sifa na utukufu zikamrudie aliyekuumba. Amen, Haleluya.

    ReplyDelete