Pages

Ads 468x60px

Thursday, September 6, 2012

SAFARI BADO NAJIKONGOJA.......

EEEH Mungu wangu  unaejibu kwa Moto, hukuwahi kuniacha wala kunipungukia,hujawahi kushindwa na hili pia utanishindia.......Bado nakungoja




nimefanya kwa nafasi yangu ni wapi nimebakisha?????? nimetega sikio sema nami ......


ninachofurahi ni kwamba mwisho upo.......SIMBA WA YUDA NDIO KIMBILIO NA MTETEZI HAKOSI MLANGO WAKUTOKEA..........HAWAHI WALA HACHELEWI

No comments:

Post a Comment