Pages

Ads 468x60px

Monday, September 17, 2012

NI KWA NEEMA TUUU.........

Ukweli ni kwamba, ni wachache sana wanaoweza kujitambua kuwa pale walipo  kwamba ni kwa neema tu.......... si kwa akiri zao wala uweza................. wakiangalia walipotoka njia walizo pitia, mawimbi na mabonde tuliyoyavuka katika safari ya maisha hatuna sababu yakumuinua huyu aliyetuweza na watu alio wafanya kutumika na kukubari kwa ajiri ya maisha yetu...................... Mama wawili kuna wakati huwa nakaa chini najichunguza yaani kila kitu kwangu ni muujiza mweeee!!!!! ama kweli jina la Bwana Libarikiwe na ajitwalie utukufu yeye aliniwezesha............safari bado ni ndefu lkn mpaka hapa nilipo mmmmhhhhhh.......Nimefurahishwa sana na Flora Mbasha alivyoamua kumshukuru Mungu kwa hapo alipomfikisha na kuwakumbuka watu walioweza kutumika kwa ajiri ya safari yake................huu ni moyo wakupondeka nakunyenyekea ubarikiwe sana Flora.........


Mr Mbasha& blogger Samweli
ubarikiwe mamii
watangazaji mbarimbari wakipokea ahsante zao
Picha Ahsante Erick brighton wa Pamoja kwa umoja blog

1 comments:

  1. Florah has a killer body mmmmm..im in love with the dress

    ReplyDelete