Pages

Ads 468x60px

Monday, July 23, 2012

HANG ON!!!!!!

Hii mutu inaitwaga Ngomi, mama  wawili, segito,Mama wa Elisa na Chenelle..................
HAINAGA MANENO WALA TATIZO NA MUTU AISEEE


Hakunaga

kitu yenyewe naipenda hii mutu haijawahi umiza kichwa @ na  Diet inakulaga yenyewe inapenda aisee
toto la kinyalu
Ipo mutu imenuna hahahaaaa!!!!!! sauli sako aisee hiso sambi sako mwenyewe
mama wawili  inakulaga raha bwana

1 comments:

  1. Uwiiiii wale wakuumiza vichwa karibuni ma wale wenye vinyea semeni sasa kumbe hafanyi diet na anawatoto wawili balaaaaaaaaa nami mwaka huu naolewa na mmarekani na naenda kuishi America mama wa ile blog kashatua na huyu Ngomi ndio kwao US uwiiiiiii na kapendeza kwakweli mi somuwezi mambo yake....tena ukimuona FB yake ndio balaaaaaa kabisaaaaa

    ReplyDelete