Pages

Ads 468x60px

Wednesday, July 18, 2012

BREAKING NEWS!!!!!

Boti ya Kampuni ya Sigal Imezama maeneo kabla hujaingia Zanzibar na Boti Hiyo Imeondoka Dar Kuelekea Zanzibar. Na Boti ya Azam Imeelekea Huko Kutoa Msaada wa Uokoaji na Boti Za Vikosi vya KMKM Viko njiani kuelekea Huko Kwaajili ya Kuokoa Mpaka sahivi Bado haijajulikana Idadi ya Waliopoteza Maisha..


No comments:

Post a Comment