Pages

Ads 468x60px

Tuesday, July 17, 2012

BREAKING NEWS!! ALIEKUA MFANYABIASHARA MAARUFU NA TAJIRI MJINI IRINGA BWANA MAKOSA AJITANGAZA KUJINYONGA..


Haya wana Iringa mmeisikia hiyo? Duuu namjua huyo Baba in some how he was our close family friend...... duuu imeniuma sana iseee.............. maisha haya kweli ni safari hutujui kesho yetu mmmmh

PLEASE UNCLE DONT DO IT NOT TOO LET U CAN TRY AGAIN.............MI NAKUAMINI SANA TUUU UKIAMUA UNAWEZA KUJINYONGA SIO UFUMBUZI  OOOOOOHHHHH NOOOOO!!!!

Bwana Makosa
ALIYEKUWA MFANYABIASHARA MAARUFU MKOANI IRINGA ENZI HIZO MAKOSA ATANGAZA ATAJINYONGA NA WATU WATAINGIA KWA KIINGILIO.

katika mazingira ya kutatanisha makosa ametangaza kujinyonga na tukio hilo litafanyika hadharani ktk uwanja wa samora mjini hapa iringa.
makosa amesema tukio hilo watu watakaopenda kwenda kushuhudia watalazimika kutoa pesa ambazo baadaye pesa hizo zitasaidia kutunza familia yake.
 

aidha makosa amesema pesa nyingine zitatumika kununulia madawati kwa shule zenye upungufu wa madawati mkoani hapa.
 
Ahsante beuty with love.
 

No comments:

Post a Comment