Pages

Ads 468x60px

Wednesday, December 7, 2011

miaka 50 ya uhuru


Tanzania Tanzania nchi yangu nakupenda kuliko........ najivunia kuitwa mtanzania  pamoja na mapungufu yote ulionayo nikifananisha na kungine kote  sitaacha kusema nakupendaaa to death......

 watanzania wenzangu nawatakia kila la kheri katika kusherekea miaka yetu 50 ya uhuru

No comments:

Post a Comment