Pages

Ads 468x60px

Monday, December 26, 2011

ADVICE PLEASE!!!

Huyu ni mwanamke amebarikiwa kuwa na watoto wa kiume  wtatu, ameishi kwenye ndoa yake kwa kuvumilia mengi hasa mwiingiliano unaotoka kwenye familia yakiumeni.... mojawapo ni hili mama mkwe na baba mkwe walihama kijijini na kuamia nyumbani kwakwe mjini kwa muda wa zaidi ya miaka mitatu, na kwa bahati mbaya sana hawakuwa na nyumba kubwa sana ambayo ingeweka heshima ya kati yake na wakwe, lakini aliweza kuishi nao nakuvumilia yote kama mnavyojua kukaa na wakwe pamoja kwa mda mrefu yataka moyo....


Kitu kikubwa hao wakwe wao ndo walikuwa waamuzi wa nini kipikwe na nini kinunuliwe na mume wake alikuwa anawapa first priority hao wazazi kuliko hata watoto sa nyingine , mwanake alivyojitahidi kulizungumzia mwanaume alisema waache wazazi wangu coz walinisomesha kwa taabu....... jibu hili lilimnyima nguvu mwanamke lakini alikuwa hana jinsi kipato chake kidogo alichokuwa anakipa ndicho alichokuwa anajitahidi kuwatoa watoto outing na kujifanyia shopping ndogo ndogo....


Pamoja na Yote mwanamke hakuacha kumuomba Mungu kwa yote anayopitia baada ya mda fulani Mwanaume alipata kazi nje ya nchi ikabidi aende na baada ya  miezi sita familia ilimjoin, wakwe ilibidi warudi kijijini na kuchukua almost kila kitu mpaka mapazia ya nyumba.....Sasa wako nje ya nchi anashukuru Mungu @list wanaishi kama mke na mume somehow lakini kinachomsumbua ni kwamba anajua Mume wake anapokea kiasi gani lakini hajui hizo hela zinafanya kazi gani anachojua mume wake akipokea mshahara asilimia fulani lazima itumwe Africa kwa wakwe ,bills,na atapewa kiasi cha kidogo cha matumizi nyumbani ambacho kinatosheleza kula tuuu hawezi hata kuwafanyia watoto shopping, nyingine sijui mwanaume anasave au vipi..... mbaya zaidi mwanamke amepokea msiba wa baba yake afrika alivyomwambia mwanaume km anaweza hata kutuma pesa kidogo, mume kamjibu hana hela  inauma sana wadau duuuu......na anaamini mumewe ana pesa kwani alikuwa anazungumzia kununua nyumba afrika...... na hapa alipo mwanamke anajishughulisha na kazi ndogo ndogo km za usafi hela yake aliyokuwa amesave alinunulia makochi ndani ya nyumba 2days kabla yakupokea msiba so hana kitu analia tuuuu.......jamani


jamani mlioolewa au mliowahi kupitia haya msaidieni huyu wapenzi afanyaje....... ???????????


yaani huyu mwanaume ninahasira nae........

No comments:

Post a Comment